Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine waliharibu kifaru cha Urusi aina ya 9K33 Osa. Eti Urusi kulipiza walipua bomu zito makazi ya watu
20220321_073637.jpg
20220321_073647.jpg
 
Jeshi la Ukraine liliwafurumusha Warusi hadi Wakakimbia pembezoni mwa mji wa Kyiv. Urusi walipoteza Vifaru 3, MT-LB mbili,T-72s nyingi sans na BRMs. Vyote Vilitekwa na sasa Vinatumiwa na Majeshi ya Ukraine. Hii ni tarehe 10 Machi 2022 tu.
 
Mazoezi ya mwisho ya Askari wa kujitolea wa Belarus wakijiandaa kusaidia Ukraine. Hawa ni wataam wa kupambana mjini au sehemu penye nyumba nyingi
 
Ukraine waliidondosha Forpost UAV Viunga vya mji wa Zhytomyr. Ilikuwa tarehe 11 Machi 2022

Moscow's Forpost reconnaissance UAV is produced under license from the Israel Aerospace Industries; it was sold to Russia in 2015
20220321_080440.jpg
20220321_080443.jpg
20220321_080446.jpg
 
Kwa uzi huu askari na jeshibla Urusi limefukuzwa ktk miji yote ya Ukraine. Wameshindwa vibaya na wamekimbia na Raia wa Urusi wanakimbia nchi yao.[emoji848]
 
Tarehe 11 Machi 2022 vita haikua kali sana. Ilikuwa ni Mazishi ya Wanajeshi wa Msitari wa mbele waliofia Vitani Mkoani Kharkiv.
20220321_081923.jpg
20220321_081919.jpg
20220321_081916.jpg
 
Mkuu omulasil kwa hakika warusi wamezikwa wote. Figganigga na jeshi lake wamewamaliza warusi ukraine ni noma aisee.
 
Mkuu omulasil kwa hakika warusi wamezikwa wote. Figganigga na jeshi lake wamewamaliza warusi ukraine ni noma aisee.
Mkuu, unanisingizia, sijasema hivyo. Nimesema picha na Video za Ukraine waliopo Frontline. Unanilisha maneno.
 
Ni haki yako kuongea utakacho. Mimi sijasema usemayo. Nikupe video ya Urusi wakiomba msamaha wasiuawe? Unajua nini kiliwakuta? Tabiri
Nipe niendelee kuthibitisha kufukuzwa kwa wanajeshi wa Urusi katka miji ya Ukraine
 
Mkuu, unanisingizia, sijasema hivyo. Nimesema picha na Video za Ukraine waliopo Frontline. Unanilisha maneno.
Nimekuelewa mkuu figganigga hata kichwa cha uzi kimejitanabaisha vyema. Umejaribu kutuonesha angalau kwa kiasi ambacho waukraine wanafanya. Mwingine ni utani tu.ndio maana kuna mtu kasema ukraine wanatupa vingumi vinavyomgusa adui.
 
Urusi walisema Ukraine haina jeshi la anga tena mitambo yote wameharibu. Hii ni airforce ya Ukraine ikiteketeza Komandi ya nchi kavu ya Urusi. Ilikuwa tarehe 11th March 2022 mkoani Kyiv. Tangia hapo hawajasogea tena.
 
Nipe niendelee kuthibitisha kufukuzwa kwa wanajeshi wa Urusi katka miji ya Ukraine
Sio miji yote Warusi wamefika. Sio Nchi Nzima warusi wamefika. Mikoa 8 tu wamefika na wamefanikiwa kuteka mikoa 3 na mmoja wamenyang'anywa. Sema unataka picha za mkoa gani ambazo Warusi wanachinjwa nikupe. Leo kule Odessa, Warusi wamelia machozi ya damu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabidi nicheke tu....endelea kujifurahisha kwa kuchora alama Z vifaru vyenu vilivyopigwa na mrusi
 
Back
Top Bottom