Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kuwa Frontline ni kufa na kupona. Angalia hii
 
Hii ndo M141 SMAW-D "bunker buster" ikiwa Uwanja wa Vita Ukraine
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3 kikiwa kimeharibiwa maeneo ya Mariupol.
20220321_184950.jpg
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3 karibu na mji wa Mariupol. Na hilo ni gari la Ugavi.
20220321_185352.jpg
20220321_185356.jpg
 
Angalia hii Ambushi🤣
 
Ukraine wakina na BTR-4 wakiwashambulia Warusi wakiwa BTR-82A na T-72B3 mjini Mariupol.
 
Ukraine wakina na ATGM Stugna-P yenye remote control. Hii Waukrraine wanatengeneza wenyewe.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3 na BTR-80 vikiwa vimeharibiwa maeneo ya Mykolaiv
20220321_190823.jpg
20220321_190825.jpg
 
Kifaru cha Ukraine kikiwa kimeishiwa mafuta. Ilikuwa tarehe 26 February wakati Vita ndo inaanza
 
Tarehe 27 Feb 2022,picha ya drone ikionesha jinsi Msafara wa Urusi unavyo shambuliwa
 
Vifaru vya Urusi Viliposhambuliwa tarehe 28 Feb 2022. Video ina damu
 
Tarehe 28 Februari 2022, Wananchi wasio na Silaha, wazuia kifaru cha Urusi kikarudi kilipotoka.
 
Back
Top Bottom