Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli propaganda hata ukiangalia Tv za urussi pia zina onyesha propaganda Kwa jinsi walivyofanikiwa. Pia Kwa jinsi Urussi tunayo aminishwa yenye mifumo Bora ya kulinda anga na vifaru sio ya kubuzwa hivyo na Ukrain ukichulia Wana advantage ya kuwa Wana pakan .Nimeangalia picha zote nilichoona ni propaganda tu , ki uhalisia mpka sasa Urusi ndio yuko upper hand lakini hapa naona kana kwamba wao ndio wamepoteza ilihali Ukrain washapoteza maeneo kibao , sasa which is which?
Bado wanayumba huko angan Kwa maaana bado Ukraine ana ndege zina piga mzigo pia na baadhi ya air difence za Ukrain bado ziko active. ndo maana Russia saiv ana shambulia kutoka black sea na kutokea crimeaNilichogundua, Urusi wapo Vizuri angani na Ukraine wapo Vizuri ardhini. Wanapiga ambushi kali sana. Nyingine wanajificha kwenye maji.
Ni kweli kwamba jeshi la Urusi limeonyesha udhaifu mkubwa kuliko lilivyoaminika , lakini kusema amezidiwa NI UZUSHI TUNi kweli propaganda hata ukiangalia Tv za urussi pia zina onyesha propaganda Kwa jinsi walivyofanikiwa. Pia Kwa jinsi Urussi tunayo aminishwa yenye mifumo Bora ya kulinda anga na vifaru sio ya kubuzwa hivyo na Ukrain ukichulia Wana advantage ya kuwa Wana pakan .
Uwo uthaifu ndo kushindwa kwenyewe kaka maana Ukrain nao ndo wanaogezewa nguvuNi kweli kwamba jeshi la Urusi limeonyesha udhaifu mkubwa kuliko lilivyoaminika , lakini kusema amezidiwa NI UZUSHI TU
Urusi hawezi shindwa hii vita na wanavyozidi kutoa hiyo misaada tutakuja kuzungumza MENGINEUwo uthaifu ndo kushindwa kwenyewe kaka maana Ukrain nao ndo wanaogezewa nguvuView attachment 2164101