Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi atashinda hii vita ila atapoteza wanajeshi na vifaa vingi sana.! Aliwachukulia poa sana Ukraine kwamba atamaliza vita ndani ya siku 3 tu, ila sasa chamoto nao wanakipata.!

RIP to all Russian/Ukrainian fallen soldiers
 
Kifaru cha Urusi kinaitwa BTR-82A na Gari hili ni aina ya BM-21
20220324_144405.jpg
20220324_144407.jpg
 
Mkoani Chernihiv Oblast Jeshi la Ukraine limeharibu cargo truck, transporting МО. Na kifaru aina ya 1.01.04М thermobaric rockets for the very potent kifaru aina ya TOS-1A vyote vilivyoharibiwa ni Mali ya Urusi
20220324_145744.jpg
20220324_145741.jpg
20220324_145738.jpg
 
Wale wanaosema Warusi hawafi. Sasa leo Mabaharia wa Urusi, Wamehudhuria Mazishi wa Kiongozi wa Juu wa Jeshi la Urusi Andrei Paliy, Huyu ni Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Maji katika Bahati ya "Black Sea" Huyu aliuawa Mashariki mwa Ukraine katika bandari ya Mariupol tarehe 20 Machi 2022
Screenshot_20220324-154234.png
 
Leo 24 Machi 2022, Urusi wamepigwa counterattack maeneo ya Lukyanivka, Mkoani Kyiv.

Matokeo yake Vifsru aina ya MT-LB tracked vehicle, T-72B3 tank na BMP variant Vinetekwa. Kuna Vifaru aina ya T-72B3 na BMP variant viliharibiwa wakati wa Ukamataji
 
Hawa hapa ni Wamarekani. Wamekuja kujitolea Ukraine.

Wamefanikiwa kukomboa hiki Kijiji kilichokuwa kimekaliwa na Urusi Mkoani Kyiv. Warusi wamekaa hapa karibia Mwezi, leo 24 Machi 2022 wamefurumushwa
 
Huyu Mrusi kadakwa na wanakijiji baada ya kuwekewa mtego. Anaomba msamaha, Wakamjibu sisi hatuna Magereza ya kukuweka na mshaua ndugu zetu..

Kamsalimie baba wa Taifa

 
Nimeangalia picha zote nilichoona ni propaganda tu , ki uhalisia mpka sasa Urusi ndio yuko upper hand lakini hapa naona kana kwamba wao ndio wamepoteza ilihali Ukrain washapoteza maeneo kibao , sasa which is which?
Ni kweli propaganda hata ukiangalia Tv za urussi pia zina onyesha propaganda Kwa jinsi walivyofanikiwa. Pia Kwa jinsi Urussi tunayo aminishwa yenye mifumo Bora ya kulinda anga na vifaru sio ya kubuzwa hivyo na Ukrain ukichulia Wana advantage ya kuwa Wana pakan .
 
Nilichogundua, Urusi wapo Vizuri angani na Ukraine wapo Vizuri ardhini. Wanapiga ambushi kali sana. Nyingine wanajificha kwenye maji.
Bado wanayumba huko angan Kwa maaana bado Ukraine ana ndege zina piga mzigo pia na baadhi ya air difence za Ukrain bado ziko active. ndo maana Russia saiv ana shambulia kutoka black sea na kutokea crimea
 
Ni kweli propaganda hata ukiangalia Tv za urussi pia zina onyesha propaganda Kwa jinsi walivyofanikiwa. Pia Kwa jinsi Urussi tunayo aminishwa yenye mifumo Bora ya kulinda anga na vifaru sio ya kubuzwa hivyo na Ukrain ukichulia Wana advantage ya kuwa Wana pakan .
Ni kweli kwamba jeshi la Urusi limeonyesha udhaifu mkubwa kuliko lilivyoaminika , lakini kusema amezidiwa NI UZUSHI TU
 
Angalia Ukrainian anti-tank guided missile (ATGM) ilivyolipua Kifaa cha jeshi cha Urusi
 
Ni kweli kwamba jeshi la Urusi limeonyesha udhaifu mkubwa kuliko lilivyoaminika , lakini kusema amezidiwa NI UZUSHI TU
Uwo uthaifu ndo kushindwa kwenyewe kaka maana Ukrain nao ndo wanaogezewa nguvu
Screenshot_2022-03-24-11-44-36-730_com.gbinsta.android.jpg
 
Leo 25 Machi 2022, Warusi tumewanyang'anya tena kifaru aina ya BMD 1 pamoja na silaha nyingine. Angalia picha kulia
20220325_170735.jpg
 
Tarehe 25 Machi 2022, Jeshi la Ukraine limeteka kifaru cha Urusi aina BTR-82A maeneo ya #Zaporizhzhia
 
Wale Warusi wanaojifanya wanajua vita na wanakifanya wababe, leo wamedakwa😂😂😂. Inabidi wajikabe shingo kwa mikono yao hadi wafe.
 
Drone ya Ukraine ikionesha footage Warusi waliokufa kwenye mji wa Mariupol. Kikosi cha Ukraine kiitwacho Azov Regimentau Azov Battalion ndicho kilitumwa kuwashughulikia hawa Wavamizi katika mji wa Mariupol
 
Mapambano yanaendelea leo tarehe 26 Machi 2022 ya kutetea mji wa Mariupol dhidi ya Wavamizi
 
Back
Top Bottom