Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Vifaru Viwili aina ya BMD vya Urusi, vikiwa vinaharibiwa na jeshi la Ukraine
 
Yule mdunguaji/Sniper wa Canada anayejulikana kwa jina la Wali, amepost picha akisema yupo salama. Kilichofanyika, akiwa Frontline habebi kifaa chochote cha Mawasiliano sababu vitu kama Simu vinafanya Ujulikane ulipo.

Kwa sasa Yupo Kyiv na anaelekea tena Frontline kwenye mapambano dhidi ya warusi. Anasema alifanya black-out mode
20220326_104835.jpg
 
Hivi ni vifaru vinne vya Urusi viliharibiwa jana 25th March 2022

Vilivyoharibiwa ni armored vehicles 3, Vifaru viwli aina ya BMP-2, Vifaru vingine viwili havijulikani ni aina gani.
 
Angalia jinsi askari wa Urusi walivyotekwa maeneo ya Sumy tarehe 26 Machi 2022.

Kwanza Vifaru vyao vililipuliwa wakaona hawana jinsi, wakaweka mikono Juu
 
Angalia haya Magari ya Urusi yalivyo teketezwa. Tarehe 26 Machi 2022 katika mji wa Trostianets
 
Hivi ndivyo Drone za Ukraine zinalipua Vifaru vya Urusi
 
Drones za Ukraine zinafanya kazi nzuri
 
Yani we jamaa ni fala sana. Hakuna post hata moja umeweka inayoonyesha kuwa Ukraine nae anapigwa. Zote umeweka taarifa za uongo na kweli kuwa Mrusi anachezea kichapo.

Urasikia vifaru ya Urusi vikiungua, Helikopta ya urusi baada ya kudunguliwa na Ukraine na blah blah nyingine.

Acha utoto.
 
Hawa ni Warusi upande Wa Mashariki mwa Urusi, walioandamana kupiga Urusi kuivamia Ukraine. Tarehe 26 Machi 2022
 
Hii iliyolipuliwa hapa ni Helkopta ya Urusi
 
Wanajeshi wa Ukraine wakiwa kwenye handaki wakiwasubiri Warusi Wasogee. Ikabidi waanze kujiburudisha kwa Zumari. Urusi wanaogopa sana kikosi cha ardhini cha Ukraine
 
Angalia askari wa Ukraine walivyokamatwa kama Kuku wa Kisasa. Aliyeleta ubishi 🗡️
 
Mungu ni mwema. Hatimaye Ukraine imefanikiwa kurudisha mji wa Trostyanets na miji mingine mitatu Mkoani Sumy. Hii miji ipo Mpakani mwa Urusi
20220327_164820.jpg
20220327_164823.jpg
20220327_164826.jpg
 
Back
Top Bottom