Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20220410_175127.jpg
20220410_175056.jpg

Hizi zilinipita bila kupost
 
Hiki kilikuwa kifaru cha Urusi. Kimerekebishwa. Sasa kinaenda Mzigoni
20220410_175354.jpg
20220410_175352.jpg
20220410_175350.jpg
20220410_175348.jpg
 
Ukraine inashinda hii vita ya Wavamizi wa Urusi
20220410_175526.jpg
 
Warusi baada ya kuona wanazidiwa, wameamua kukimbilia Mashariki na Kusini mwa Ukraine. Napo tutawafurumisha warudi kwao. Kasikazini mpakani na Belarus kupo salama, hamna fyokofyoko ya Urusi. Wameufyata mkoa.
20220410_175845.jpg
 
Ungeandika majeshi ya PUTIN ingekuwa sahihi zaidi. Sawa na majeshi ya Nduli Idd Amin kuyaita majeshi ya Uganda. Warusi hawaungi mkono uvamizi na ubeberu huo ni vile wako chini ya dikteta hawana uhuru wa kupinga.
 
Drone ya Ukraine ikionesha Vifaru vya Urusi maeneo ya Rubizhne Mkoani Luhansk baadhi ya Magari yalikuwa yamebeba Nitric acid, ambayo ni hatari kwa binadamu
 
Baada ya kuwanyang'anya Urusi Kifaru
 
Angalia Urusi wanavyo chakazwa Mkoani Donbass
 
Ujerumani wameamka. Watuma Msafara wa Vifaru kuisaidia Ukraine
 
 
Mrusi analia machozi ya damu. Tusingekuja huku, haya yasingenikuta. Kachakazwa
 
Back
Top Bottom