figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,201
Kwa sasa Donbas ndo sehemu Duniani ambapo damu ya Binadamu inamwagika kwa wingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii inaweza kuwa mbinu ya kijeshi nasmini hivo na kutatokea shambulizi la kushtukiza kutoka msaada wa USA Warus hawataamini macho yaoWenzetu Mariupol wana hali ngumu. Makombora, Risasi madawa, Vimewaishia. Leo wanapigana Vita ya Mwisho. Kuna Mzigo umetoka Marekane.. Tukibahatika usiku ukaingia tushukuru Mungu. Usipoingia kesho hamna Vita Mariupol. Ukiacha Wanajeshi, tuna Wapishi, Madakitari, Wahandisi, Mafundi wa umeme na Mafundi Bomba, Waandishi wa habari na IT. So Kikosi cha Azov kisipopata Silaha leo, wapo watakaokufa, kutoroka na wengine watakekwa. Leo sona raha kabisa. Wapo wanajeshi wa kujitolea kutoka Marekani na Uingereza.
Hadi Muda huu Urusi Wameshindwa kufika Viwandani Walipo. Mapambano yanaendelea kama kawaida. Ila kesho watazidiwa. Uzuri walishajiandaa na Mahandaki kwa mwezi Mzima. Tangu Tarehe 15 April 2022 Wamegoma kijisalimisha hadi leo.
Azov wamelipua kifaru cha Urusi T-72B
View attachment 2194204
Sasa hapa ndo mbinu za kivita Huwa zinatumikaga .Hutaamini kitakachotokea lakini amini mzigo utawafikia Azov muda wowote .Kuna watu Wana elimu za kivita kufanya kazi kwenye mazingira ambayo akili ya kawaida ni ngumu kuamini.Special force's kutoka Israel na USA ndo wanampeleka huo mzogo kwa kujam mawasiano ya Warus kwanza,mkuu kesho ni siku ya furaha Sana kwa sisi wapenda haki .Mzigo ushatua Ukraine. Utafikaje Mariupol?
View attachment 2194321
Hizi Propaganda bhana[emoji4]Kokosi cha Azov bado wanakinukisha Mariupol. Wanapungukiwa silaha tu.
View attachment 2194158
Ha ha ha....Hii thread inachekesha sana....anayeandika kama vile ni mlevi wa wapi sijui. .ha ha haaa
Maana yake hatasafiri nje ya Urusi kamweMrusi kakataa kupigana vita na Ukraine. Passport yake ikagongwa Mhuri eti kagoma pigana vita.[emoji1787][emoji1787]
"AVOIDED THE DUTIES OF MILITARY SERVICE BY REFUSING TO PERFORM SERVICE AND COMBAT TASK AS A PART OF THE MAIN TACTICAL GROUP DURING A SPECIAL MILITARY OPERATION"
View attachment 2190026