Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi wameshindwa kuiteka Mariupol wala kuwakamata Azov. Siku ya tatu leo Urusi Hasogei hata mita moja. Njia zinazoingia na kutka Mariupol zimefungwa na Ukraine, isipokuwa njia moja tu. Wameshitukia mtego. Leo wameanza kupunguza vifaa vya thamani. Walichofanya ni kutuharibia mji.
20220421_171651.jpg
 
Ilitegemewa iwe hivo tu na ndani ya wiki watakuja wamekimbia wote ,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tuone Usiku wa leo itakuaje. Marines na Azov bado hawapo Sehemu nzuri japo jana walifanikiwa kutoka sehemu walipokaa wiki nzima.

Kuna kitu kinafanyika. Tukifanikiwa tunawatoa tukishindwa manake kuna baadhi tutawapoteza. Sababu watesi watesi wetu watakuwa wamegundua Marines wametia kambi wapi. Hope kazi wataikamilisha salama.
 
Media nyingi zinasema mji wa mariupol umetekwa na kiwanda cha chuma kilichopo mariupol wanajeshi wengi wapo humo wamejificha ,vp report wetu humu hii imekaaje ?
 
Helkopta ya Urusi aina ya Mil Mi-8 ikiwa inasafirisha wanajeshi, imepigwa Kombora na Majeshi ya Ukraine kwa bahati mbaya. Ikaja Helkopta nyingine kusaidia nayo ikapigwa Kombora. Hivyo Wamepoteza Chopa Mbili Mkoani Zaporizhia. Hii ya Pili imeangushwa na Kikosi cha Marines wakati ya kwanza imeangushwa na kikosi cha Paratroopers kwa kutumia silaha aina ya FIM-92 Stinger Manpads
 
Urusi: Tver inawaka moto, ni kituo cha utafiti wa air defense Systems
 
Mkoani Zaporizhia, Ukraine wamejiokotea kifaru cha Urusi, kinapelekwagereji
 
Sisi ndo Urusi, tunakuja na Convoy ya Magari na Chipa🤣🤣🤣

Huu moshi ni Helkopita aina ya Ka-52 Alligator imedondoshwa. Nawawekea picha kwa Wale msiojua Ka 52. Mkoani Zaporizhia kwa moto. Muda si Mrefu Putin ataanza kutimua Magenerals wake
Ukraine-31-768x432.jpg

Kherkyiv pia, Jeshi la Ukraine wamedondosha Helkopta mbili pia. Tutazimaliza. Rudini kwenu. Zoom Video ili uone vizuri
 
Hii ilikuwa kazi ya Azov
 
Ukriane imechakzwa vibaya saana ,Mariapol imeshachukuliwa,nazipenda Ukraine but tulie tuuu hatuna namna ,,,Askari wa UKrane watatekea wote Mariapol Maskini😭😭😭😭😭
 
UAV ya Urusi 🤣🤣🤣
 
Unaota wewe
 
Back
Top Bottom