figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #1,261
Urusi wameshindwa kuiteka Mariupol wala kuwakamata Azov. Siku ya tatu leo Urusi Hasogei hata mita moja. Njia zinazoingia na kutka Mariupol zimefungwa na Ukraine, isipokuwa njia moja tu. Wameshitukia mtego. Leo wameanza kupunguza vifaa vya thamani. Walichofanya ni kutuharibia mji.