Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20220429_104136.jpg
 
Death from above 🤣🤣🤣
 
Azov manake nini?
Azov ni bahari. Hiki kikosi cha jeshi kinaitwa Azov Regiment au Azov Battalion. Ni wanajeshi wa Ukraine wanaolinda Mwambao wa Pwani ya Bahari na Makao yao Makuu yapo Mariupol. Azov wanashirikiana na Kikosi kingine kinaitwa Marine Brigade. Wote ndo wanaolinda na kupambana na Jeshi la Urusi Mkoani Mariupo kwa Sasa. Jeshini kila Kikosi kina Jina lake. Mfano: Pale Mariupol Urusi wanatumia Vikosi Viwili. Kikosi kinachoitwa Somalia Battalion na Chechen units. Jina la Azov limetokana na bahari. Wakajiita hivyo. Wanaijua hiyo bahari kuliko chochote
 
Urusi waliweka Makao Makuu yao Wilayani Kutuzivka Mkoani Kharkiv, Jana tumewafurumusha wakakimbia pekupeku. Yaani Hawa Warusi wanakuja wanakaa kabisa utafikiri kwao.
 
Vifaru vya Urusi aina ya T-72B3 vimeteketezwa
 
Baada ya kufanikiwa kuteka hili gari la Urusi aina ya Gaz-Tigr-M IMV, Sasa analiendesha mwenyewe Frontline. Hii bendera ni ya Kikosi hatari sana kinachojiita Pravy Sektor. Kikosi kinachopambana kuikomboa Donbas. Natamani Wangepelekwa Mariupol Wasaidiane na Azov sababu wote wana style moja ya kupambana
1651291307376.png
 
Je, ni wakati wa Mataifa ya Afrika kubadilisha Viatu wanavyo vaa Majeshi yao? Hivi ni Viatu vinavyo tumiwa na Urusi Vitani Ukraine. Hata Ukraine wanavaa Viatu aina hii
1651291821957.png

1651291633101.png


Hivi hapa ni vya Urusi, angalia sole yake ilivyo.
1651292258478.png

1651292461790.png

1651292509495.png
1651293563328.png
 
Back
Top Bottom