Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ujerumani wanaleta Mars II multiple launch rocket systems. Asante
20220601_163602.jpg
 
Hawa ni kikosi cha M14 battle rifles. Siku nyingi sijawapost. Hapa wapo mazoezi ya kujifunza Sikaha mpya aina ya 7.62x51 rifles kutoka Baltic States yaanu Lithuania, Latvia na Estonia.
20220601_165200.jpg
20220601_165159.jpg
20220601_165156.jpg
 
Wakuu, huyu ni
Generals Alexander Dvornikov, huyu ndo alidaiwa ndo Mkuu wa "special operation" ya Urusi nchini Ukraine. Wiki ya pili haonekani Frontline. Inadaiwa kauawa japo sijaona maiti yake. Tunafuatilia.
View attachment 2247274
Hii habari nimeiona gazeti la Daily Mail la Uingereza wenyewe wanasema Kuna tetesi itakua katolewa kwenye ukamanda wa kuongoza hii oparesheni na Putin pia wanakili hajaonekana hazalani kwa wiki mbili . inaweza kuwa kweli kafa Mana kilisikika taalifa kwamba kajeluhiwa.Ngoja tusubili muda utupe majibu.
 
Zile kofia Kutoka Ujerumani zinasaidia sana. Hii ni Gefechtshelm M92 helmet na American IOTV bulletproof vest, Risasi haipenyi. Sio sisi tunakomaa na kofia ya chuma. Teknolojia umebadilika. Isingekufa hii Kofia, Huyu askari wa Ukraine Tungezika
1654124183860.png
 
Ramani inayoonyesha ambapo roketi za HIMARS, MLRS M30/M31 zilizo na masafa ya hadi kilomita 70 zinaweza kutua kutoka mstari wa mbele.
1654124702750.png
 
Back
Top Bottom