Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani Sikutegemea Urusi Inyanyaswe hivi. Walisema Ukraine itatekwa kwa siku 3, lakini ndani ya miezi minne wameambulia kuteka mkoa mmoja ndani ya Mikoa 28. Urusi wanakwama wapi?
 
Wataenda nyumbani kwao Urusi kama ilivyotabiriwa, kwenye kifurushi..
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-80BV, kimesambaratishwa na NLAW.
IMG_20220704_115324_696.jpg
IMG_20220704_115327_362.jpg
 
Kuna kikosi cha Ukraine kinaitwa 93rd brigade "Cold Yar", nahisi kina Makomandoo watupu.. Kinawauma Warusi hadi basi. Hiki kifaru cha Urusi aina T-80BV kimeteketezwa na Waliomo
IMG_20220704_135126_070.jpg
 
Ghala lingine la Jeshi linawaka Moto. Sasa ni Tyva kwao na Waziri wa Ulinzi wa Urusi Shoigu. Ndipo alipozaliwa, sasa hivi ndugu zake roho zinadunda. Asante LEGION

 
🤣🤣🤣🤣
 
Hawa wameamua kuweka SPG-9 kwenye pickup🤣🤣. Urusi watakoma
 
Tumejiokotea Vifaru vya Urusi
 
Napenda jinsi HIMARS zinavyofanyishwa kazi. Baadi ya kumaliza kazi zinahama Mkoa, sasa zipo Zaporozhye
 
HIMARS zinatesa Urusi. Ghala lingine la silaha za Urusi huko Yakovlevka mkoani Kharkiv linateketea mda huu.
 
Back
Top Bottom