figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,601
Angalia hii ambushi ya dakika moja na nusu.. Vumbi limetimuka, Urusi hawaamini macho yao🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiooooooMliwamiss Azov?
View attachment 2283496
Wale wa Urusi wanapigania nchi au ubabe wa putin,nani muathirika Kati yao na putinWewe ulitaka Urusi waje waiteke Ukraine na Zelensky asipambane kulinda nchi sababu akilinda nchi anaonekana mbabe? Tuondolee ujinga. Mtu aje kwako abomomoe nyumba yako umuache ili usionekane mgomvi?
Huu uzi ni wa vita unategemea ukute picha za ufukweni mkuu...!Mkuu,
Kuna baadhi ya picha unazoziweka zinatosha na kuogopesha sana unatakiwa kutoa tahadhari kwa sisi wasomaji wako.
Sijui lakini kwa nini sijui @moderators wamekuacha ufanye hivi vitu pasipo kukudhibiti.