figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #3,901
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atulie kwanza dawa imwingie.Mzigo ndo unafanya kazi usiku na Mchana. Sasa Urusi atafanyaje Jamani? Hizi HIMARS zimemkalia kooni
View attachment 2290451
Mahesabu ni baadaye bro. ngoja kwanza kichapo kiendelee Mrusi ashikishwe adabu.hivi hizi ngoma ziko ngapi maana sio kwa usumbufu huu
Katoto ka Watu jamani inauma sana. Mrusi na ALAANIWEEE.
Hongereni sana Ukraine - Keep it Up.Leo mapema kabisa kabla ya saa sita mchana, Ukraine imrudija Miji miwili aliyokuwa imechukuliwa na Urusi huko
Bakhmut Mkoani Donetsk
View attachment 2291235
Hawana shabaha au walishambulia kwa woga bila umakini au ni wanafunzi wa mazoezi ya kutumia ndege kwa vitendo(Field practicals) - Kama ingeshushwa mojawapo ya hizo ndege ingependeza sana.Jana Urusi wamevamia kwa ndege Kisiwa cha Snake. Mabomu yao yakaishia baharini, hawajafanikiwa. Mara ya kwanza walisema kisiwa kimeachiwa kwa hiari. Mbona sasa wanashambulia? Ukweli ni kwamba mabomu ndo yalifanya watoke.
View attachment 2291246