Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

IMG_20220716_080921_470.jpg
 
Urusi Wanawindwa kil kona
 
Huu uzi nikiwa na stress naingia hapa nachekaaaaaaa kisha nalala zangu.

Yaan mtoa mada anajijibu mwenyewe, anacheka mwenyewe, anajipa taarifa na kujikanusha mwenyewe.
 
Mm mtoa taarifa nampenda Sana maana siipendi urusi,huwezi vamia nchi huru eti kisa una nguvu za kiuchumi na kijeshi ukaachwa tu na kuchekewa na nashauri warusi wakiuliwa wawe wanakatwa katwa kabisa.Huwezi vamiwa kwako na jirani yako tajiri eti kisa wewe ni maskini,lazima nitumie fimbo,lungu,panga,visu,kutetea kibanda changu.Wanaomtetea urusi wote Wana nyota ya kuua.
 
Tunaendelea kuwanyang'anya Silaha Warusi
 
Back
Top Bottom