Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Mkuu, Uko sahihi lakini sio lazima uwe kwenye eneo la tukio ili uweze kutoa taarifa. Kumbuka Teknolojia ime-advance kiasi kwamba hakuna tena jambo lililofichika chini ya hili jua. Hawabahatishi au tuseme sio "Probability of an event" - vinginevyo ajitokeze anayekanusha kwa uthibitisho. Kumbuka majuzi kati hapo wapo jamaa walikuwa wakisema Mrusi hafi lakini zilipoanza kuwekwa picha za mizoga yao ikiwepo na ile walioshindwa kuibeba ck hizi wapo kimya.......
Ushahidi usiotiliwa shaka ndiyo hasa inatakiwa hapa. Asilete, screenshot za video games baaasi!!!
 
1. Fanya stocktaking na kuona kama kuna upungufu wa dude moja kati ya yaliyokuwepo mali ya Urusi.
2.Kuwepo kwa Dude hilo miongoni mwa vifaa-vita vinavyomilikiwa na Ukraine.
3. Tusubiri Mrusi aliyepokonywa dude lake aje kulalamika kudai upotevu wa dude lake moja.
(Nachangamsha tu jamvi samahani 🙂)
Ha ha ha haaaa! Nakupata sana, Mkuu. Maana uzi ulikuwa umepoa sana.
====
Yaani Ukraine akamate mtambo huo wa Russia ukiwa intact, Halafu Al Jazeera , BBC, CNN ,DW na wapambe wao wakae kimya!? Kuna mawili, yawezekana Ukraine wameokota mwanasesere wa mtambo huo!
 
Oiyeyai; Mkuu, Hivi midoli inapelekwaga kwenye vita halisi? Inawezekana pia hao Aljazeera, BBC n.k. na wao wanashangaa - hawaamini kilichotokea.
Lakini kuna wakati pia Warusi waliwahi kukimbia na kutelekeza vifaa vyao na Ukraine akajiokotea. Kwa hiyo labda inawezekana na hili likawa ni mojawapo ya "yaliyookotwa" .
 
Utakuwa unarejea Suala la Kisiwa cha Nyoka karibu na Odessa.
Ilikuwa hivi, Ulaya na Marekani walipiga kelele kuwa Russia anazuia chakula kisitoke Ukraine kupitia bandari zao. Russia akawaambia Neo nazi wametega mabomu baharini! Wakawa hawaamini.

Alichokifanya Russia ni kuondoa defensive systems zake kutoka Kisiwa hicho cha Nyoka. Akaacha skrepa ya baadhi ya vifaa hivyo. Alifanya hivyo kuonyesha "good will" kuwa Russia hana nia ya kuua raia wa Ulimwengu kwa njaa. Heh! Neo Nazi wa Ukraine kuona hivyo, warusha mabomu kwenye Kisiwa hicho, wakaharibu skrepa zilizoharibika lengo wapate picha za kuwashawishi Ulaya na Marekani kuwa wanafanya vizuri front line dhidi ya Russia. Yaani walirudia kosa kama lile walilofanya Bucha kwa kuua raia wao kisha kuwasinvizia Russia lengo ni kutumia vibaya good will ya Russia baada ya kuona Ukraine kakubali mazungumzo!!!!
===
Tupo wote Mkuu nadhani katika safari yetu ya kuburudisha na kuchangamsha uzi huu. Ha ha hahahaha haaaa!!!
 
Russia Hana good will.
 
Mkuu unatujazia miandishi tu huku uzi huu sio wa kubishana tumewachia kule huu wa video na picha maneno hayana nafasi
 
Urusi wanajuta
IMG_20220721_171153_587.jpg
 
Hawa ni Wanajeshi wa Urusi. Angalia wanavyoigiza. Kwamba wanashambulia mbele na nyuma. Vitani adui anakua mbele, nyumba wanakuwepo wenzako. Lakini eti hawa wanapiga mbele na nyuma halafu wanapost eti tupo Frontline🤣🤣. Ndo maana wanakufa. Hapo ukute anaiga risasi mti🤣🤣
 
Ila Azov jamani, acha Warusi wawachukie, wana roho ngumu Azov. Hawana huruma hata chembe. Mrusi alikutana na Azov anajua ni kufa tu, bora ajipige risasi😂😂
 
Ndani ya Kifaru aina ya BTR-4
 
Hawa ni Wanajeshi wa Urusi. Angalia wanavyoigiza. Kwamba wanashambulia mbele na nyuma. Vitani adui anakua mbele, nyumba wanakuwepo wenzako. Lakini eti hawa wanapiga mbele na nyuma halafu wanapost eti tupo Frontline🤣🤣. Ndo maana wanakufa. Hapo ukute anaiga risasi mti🤣🤣
View attachment 2298926
Hayo ni matumizi mabovu ya rasilimali/vitendea kazi. Hiyo movie aipeleke huko Hollywood.
 
Back
Top Bottom