figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #4,501
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka mageuzi ya mwaka 2020 ambayo yalimuongezea nguvu Putin Medveded aliondolewa kuwa PM pia Oligarchs wengi waliwekwa pembeni ikiwa stratergy ya Putin kuwa mtawala kwa muda mrefu zaidi, Kwa sasa Medveded ni Mwenyekiti wa baraza la usalama la Russia.Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣
Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
View attachment 2307547
Asante kwa masahihisho mkuu. Ni kweli kabisaToka mageuzi ya mwaka 2020 ambayo yalimuongezea nguvu Putin Medveded aliondolewa kuwa PM pia Oligarchs wengi waliwekwa pembeni ikiwa stratergy ya Putin kuwa mtawala kwa muda mrefu zaidi, Kwa sasa Medveded ni Mwenyekiti wa baraza la usalama la Russia.
Hivi putin ana malengo ya kupunguza idadi ya wanajeshi wake..???... labda kashindwa kuwalipa ndo kaamua kuwa-dump hukuHawa Warusi hata hawajui wakimbilie wapi. Mambo yamekuwa magumu ikabidi wageuzu baada ya Vifaru vyote kuchakazwa kikabaki kimoja🤣🤣🤣
View attachment 2307544
Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣
Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
View attachment 2307547
Siku zote njia ya mwongo ni fupi.Urusi yasema Ukraine imeshambulia kambi iliyokuwa yatumika kama magereza ya Azov, imeua Azov 45+, 75 majeruhi
Himars zilitumika
Ukraine hajathibitisha wala kukataa, ila kinachoonekana ni Warusi wameuawa
Usahihi ni Naibu mwenyekiti wa baraza la usalama la Russia.Asante kwa masahihisho mkuu. Ni kweli kabisa
Kama naibu ulinzi wake ndio ule; Putin atakuwa anaishi kabatini wallahi.Usahihi ni Naibu mwenyekiti wa baraza la usalama la Russia.
Natamani kuwa operator wa HIMARS 😂😂😂. Kuna raha yake ikianza kutema vitu, ndo maana warusi wakisikia imetua sehemu lazima wachanganyikiwe.
Wanapigwa chabo kama ya kitandani. Then mtu anashindiliwa kitu kizito. 😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️Warusi waoga sana. 🤣🤣🤣View attachment 2307693