Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakati wa utawala wa Medvedev, Putin alikuwa Waziri Mkuu na sasa Rais ni Putin na Medvedev ndiye Waziri Mkuu. Muda wote anajihisi kufa, ana ulinzi kuliko kitu chochote🤣🤣

Dmitry Medvedev mwenyewe ndo huyu
View attachment 2307547
Toka mageuzi ya mwaka 2020 ambayo yalimuongezea nguvu Putin Medveded aliondolewa kuwa PM pia Oligarchs wengi waliwekwa pembeni ikiwa stratergy ya Putin kuwa mtawala kwa muda mrefu zaidi, Kwa sasa Medveded ni Mwenyekiti wa baraza la usalama la Russia.
 
1659074637457.png

Jamaa anazidi kunawili
 
Urusi yasema Ukraine imeshambulia kambi iliyokuwa yatumika kama magereza ya Azov, imeua Azov 45+, 75 majeruhi
Himars zilitumika

Ukraine hajathibitisha wala kukataa, ila kinachoonekana ni Warusi wameuawa
 
Siku zote njia ya mwongo ni fupi.
 
Back
Top Bottom