Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 3,374
- 13,922
Huko Kherson Warusi wamefurushwa katika maeneo Lozove. Wamekimbia wakaacha viatu
View attachment 2316279
Source?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko Kherson Warusi wamefurushwa katika maeneo Lozove. Wamekimbia wakaacha viatu
View attachment 2316279
PutinSource?
Ndo zao hizo. Tunashukuru. Watandikwe zaidi ili akili ziwakae sawa.Urusi wamepoteza
View attachment 2316426
Nimeona kuna mtu hapo anajikunyata. Huyo ndo kwishney au ana-take cover 😀
Kumbe kuchukua Kherson bado badoHuko Kherson Warusi wamefurushwa katika maeneo Lozove. Wamekimbia wakaacha viatu
View attachment 2316279
Aiseee mie nikawa najua wana excavators kumbe kuna mitambo kabisaMashine ya kuchimba mahandaki kwaajili ya Wanajeshi wa Ukraine Frontline
View attachment 2316450
😅😅Drone ya Azov
View attachment 2316423
Wanawaza kula tuWanajeshi wa Urusi bana.. Sasa vijiko na Umma vya nini[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2313689
Hii tamuuuAngalia Warusi walivyoteketezwa. Walikuwa wanakimbia kujificha bila kujua Drone inawaangalia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2316402
😂😂😂 hana tofauti na panya anayekimbia kwenda kunasa mtego.Mrusi alipojaribu kukimbia. Akakutana na kombora lililofukiwa barabarani
View attachment 2316257