OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Heheheheee. Kwa sasa hata nzi akiruka na kupita juu yao watakurupuka na kukimbia wakidhani ni Drone.🤣🤣🤣
Walivogongana sasa. Kumbe na Warusi wanaogopa kufa ila wanaenda kuua wenzao
View attachment 2339494