figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #5,421
HIMARS itamaliza Maghala yote ya Urusi. Kherson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa shughuli ya HIMARS ilivyo hata nikisikia Tanzania imeweka Tozo maalum ili tupate pesa ya kununulia HIMARS 200 sitalalamika kabisa. 😂😂😂Ghala la Silaha za Urusi huko Nova Kakhovka Kherson. Hii ni janaView attachment 2340517
Sasa namwelewa Kirill kwa nini kaona isiwe tabu akasepa zake moscow. 😂😂HIMARS itamaliza Maghala yote ya Urusi. Kherson
View attachment 2340521
Kazi iendelee. Kuna jamaa kule "tuitani" jana eti kaweka kauzi kwamba 90% ya wanajeshi wa Ukraine waliokwenda kwenye Counter Offencive Operation Kherson ni RIP. Hii itawadhihirishia hata na wasomaji wengine kwamba ile Taarifa ilikuwa ni Chai ya rangi.Angalia HIMARS ilivyoharibu magari ya Ugavi ya Urusi aina ya KamAZ-6350. Hapa ni Nova Kakhovka, Mkoani Kherson
View attachment 2340515
Yap. Kirill(Deputy) amewaonesha wenzake (Warusi-wavamizi walioko Kherson) kwa vitendo halisi ni nini cha kufanya Chap /Fasta. Wasisubiri damu itoke masikioni. Hapa sio pa kukaa tena. Kimbiaaaa, Ondokaaa; Funga rambo chapa mwendoooo. i.e. mwenye macho haambiwi tazama.Dalili ya mvua ni mawingu. Kama Kirill (deputy) mtawala aliyesimikwa Kherson kashakimbia na kurudi moscow, maana yake kaona maji ya shingo, Kherson tena siyo territory yake. Moto uliopelekwa jana siyo wa kitoto.
Hahahaaa. Nimeangalia ramani ya Urusi nikajiuliza: Hivi ikitokea Mrusi (Putin)akaamua kukimbia katika hali iliyopo hana pa kukimbilia zaidi ya baharini?HIMARS kumi na moja ni mzigo wa maana. Putin aliingia choo cha kike. Hakujua kuwa wanaume wanamsubiria uani atoke na taulo wampe za uso.
Halafu kwa Kiu, Njaa na Usongo wake huyo HIMARS atalia kwa sauti kuu.." NEXT" ?HIMARS itamaliza Maghala yote ya Urusi. Kherson
View attachment 2340521
Ebo? ww cha kufia nini mangi!Sasa namwelewa Kirill kwa nini kaona isiwe tabu akasepa zake moscow. 😂😂
Katsap watatoweka ghafla. (vanish into thin air).Ukraine wakipata HIMARS 11 tena mbona Katsap watakimbia.
Heheheeee. Ngariba mwenye kisu kikali, hana mswalie Mtume kaingia Nova Kakhovka Kherson. Watoto wa kiume tulieni mnaenda jando.Ghala la Silaha za Urusi huko Nova Kakhovka Kherson. Hii ni janaView attachment 2340517
🙄 🙄 🏃♂️🏃♂️🏃♂️😂😂😂Drones zinawakalisha chini bila shuruti. Zinawapiga kende 😂😂😂
Tunawaombea; Mungu awajalie wepesi wapambanaji wa Ukraine wayafikie malengo waliyo jiwekea kwa mafanikio makubwa.Inasemekana huko Kherson mambo si mepesi kwa pande zote,...
Unafuu kwa Ukraine ni kuwa Urusi haiku mine Kherson hivyo inawasaidia sana Ukraine kusonga mbele
Offensive huwa ni ngumu sana.Inasemekana huko Kherson mambo si mepesi kwa pande zote,...
Unafuu kwa Ukraine ni kuwa Urusi haiku mine Kherson hivyo inawasaidia sana Ukraine kusonga mbele