Ukilala nchale, ukichimama nchale. Hapo lazima waombe poo 😂😂😂😂Warusi walilala chini ili risasi zisiwapate walipokuwa wanashambuliwa, bila kujua juu kuna drone 🤣🤣🤣
View attachment 2367588
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukilala nchale, ukichimama nchale. Hapo lazima waombe poo 😂😂😂😂Warusi walilala chini ili risasi zisiwapate walipokuwa wanashambuliwa, bila kujua juu kuna drone 🤣🤣🤣
View attachment 2367588
Mrussi hali inazidi kuwa mbaya, ngumu na yenye vizingiti vingi mno. e.g. Silaha zinamwishia kwa haraka mno, watu raia anaotegemea kuwa ndo chanzo cha kupata askari watakaokwenda vitani wanagoma na wengine wanatoroka nchi, mataifa aliyotegemea watamuunga mkono katika hii vita wamemwuza, askari wachache alobaki nao wanazidi kupukutika/kuuawa kama sisimizi, mataifa makubwa duniani wanamkanya asijaribu hata kidogo kuzisogelea silaha zake za nuklia, Ukraine wanakuja kwa kasi kubwa mno...Dah! yeye mwenyewe sio mtu wa kushaurika - Angekuwa ni mtu wa kushaurika ameshaambiwa AACHANE NA HILO LIVITA LAKE ALILOANZISHA LITAMWUMBUA MAZIMA.Mrusi kakataa katakata kwenda Vitani Ukraine🤣🤣🤣. Mtapiga mniue
View attachment 2367375
Hii ofa imekaa kibinadamu sana- Good. Kama itatekelezwa hivo, Sasa askari wa Urussi wanalo chaguo lenye tija zaidi kwao na waachane na huyo nduli anayependa kumwaga damu ya ndugu zake.Wakati Putin akisaini sheria ya kufungwa kwa miaka 10 kwa Mwanajeshi wake atakayejisalimisha kwa Ukraine au kugoma kushambulia akiwa Frontline, Zelensky amewataka watakaotaka kujasalimisha wafanye hivyo watawapokea na ikibidi watawapa Uraia, na asiyetaka kubadilishana na wafungwa wa urusi watamsikiliza. Pia kasema watakaojisalimisha itakuwa siri na watapata huduma zote na hela za kusaidia familia zao zilio Urusi.
Hapa chini kwenye Video ni gari la Kivita la Italia aina ya Iveco LMV ikiwa inatumiwa na Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline Mkoani Kherson
View attachment 2367482
Mrussi bhana! anawadhalilisha hata mpaka wapiganaji wake. Utamlazaje mtu unayetegemea akapiganie nchi yako kwa kumsonganisha chumba kimoja pamoja na kuku? au kwa akili yake ilivyo mbovu anaona hao Mobilized ni sawa na kuku tu wakuchinjwa. Inasikitisha sana.Hapa ni Ingushetia Urusi ambapo Mobilized wao walipofikishiwa🤣🤣🤣. Depo.
View attachment 2367491
Naibu Waziri wa Ulinzi wa Urusi wamemtoa kisa ameshindwa kuzuia advancement ya Ukraine na kusababisha silaha nyingi kuteketea.Mrussi hali inazidi kuwa mbaya, ngumu na yenye vizingiti vingi mno. e.g. Silaha zinamwishia kwa haraka mno, watu raia anaotegemea kuwa ndo chanzo cha kupata askari watakaokwenda vitani wanagoma na wengine wanatoroka nchi, mataifa aliyotegemea watamuunga mkono katika hii vita wamemwuza, askari wachache alobaki nao wanazidi kupukutika/kuuawa kama sisimizi, mataifa makubwa duniani wanamkanya asijaribu hata kidogo kuzisogelea silaha zake za nuklia, Ukraine wanakuja kwa kasi kubwa mno...Dah! yeye mwenyewe sio mtu wa kushaurika - Angekuwa ni mtu wa kushaurika ameshaambiwa AACHANE NA HILO LIVITA LAKE ALILOANZISHA LITAMWUMBUA MAZIMA.
Nimeamini ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Kijiografia Urusi ina eneo kubwa sana ukilinganisha na Ukraine. Watu wengi (pro russia) waliamini kuwa Urusi angeshinda vita mapema sana. Waliangalia ukubwa wa Urusi kieneo.Naibu Waziri wa Ulinzi wa Urusi wamemtoa kisa ameshindwa kuzuia advancement ya Ukraine na kusababisha silaha nyingi kuteketea.
Colonel aliyeongoza kuiteka Mariupol ndio atapewa hicho kitengo.
Huku China na India ni kama wanaanza kumtenga Putin maana wanamwambia aachane na hii vita.
Vita kwa upande wa Putin si shwari kupiganisha askari wasio na morale ni sawa na kumlazimisha ng'ombe kunywa maji.
Oh! Kwa gear hiyo, Makamanda wajiandae kwani Watatolewa wengi sana.Naibu Waziri wa Ulinzi wa Urusi wamemtoa kisa ameshindwa kuzuia advancement ya Ukraine na kusababisha silaha nyingi kuteketea.
Colonel aliyeongoza kuiteka Mariupol ndio atapewa hicho kitengo.
Huku China na India ni kama wanaanza kumtenga Putin maana wanamwambia aachane na hii vita.
Vita kwa upande wa Putin si shwari kupiganisha askari wasio na morale ni sawa na kumlazimisha ng'ombe kunywa maji.
Hakika. Na bado tutaendelea kujifunza vitu vingi sana kwenye hii vita baina ya Juha na Mwerevu. Nilidhani baada ya kuona wanawake wanaandamana kupinga, wanajeshi baadhi yao wanagoma na kukimbia mapigano, wananchi raia wanaihama au wanaikimbia nchi; Putin atazinduka na kubaini ujinga aliofanya wa kuanzisha vita na afanye maamuzi chap ya kusitisha vita hiyo. Lakini waapi bhana; Juha kashupaza shingo. Amefika mahali anakusanya kwa lazima (kamata-kamata)vijana mitaani wavuta bangi, walamba unga na wanywa vodka eti anawapeleka depo wiki 3 then waende frontline kupambana na Ukraine ambaye ameshapata uzoefu wa zaidi ya miezi 8 kwenye vita hiyo. Ni ajabu ya mende kuangusha kabati. Ngoja waende huko frontline wataisoma namba.Nimeamini ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Kijiografia Urusi ina eneo kubwa sana ukilinganisha na Ukraine. Watu wengi (pro russia) waliamini kuwa Urusi angeshinda vita mapema sana. Waliangalia ukubwa wa Urusi kieneo.
Kuna watu walipokuwa wanasikia kuwa Urusi ana jeshi kubwa (900,000) walidhani ukubwa ule ndo ungemfanya ashinde vita mapema. Walisahau kuwa kwa ukubwa ule wa eneo unahitaji watu wengi (askari) kulinda mipaka na unahitaji kuwa na vifaa vingi vya kijeshi. Sasa alivyokuwa bogus aka mobilize vifaa vyote na askari wengi kuja Ukraine na msururu mrefu kama anaenda kwenye harusi.
Ukubwa ule naufananisha na mtu mwenye kitambia kikubwa kumtishi mtu mwenye six pack. Russia ana kitambi kikubwa na hawezi kupigana, Ukraine ana six pack mtiti wake ni hatari. Hicho ndo tunachokishuhudia.
Kumbe ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Ndiyo maana tunashuhudia kinachoitwa "partial mobilization" japo ni "full mobilization" nyuma ya pazia. Isingekuwa "full mobilization" tusingeona marathon zile za watu kutimua mbio kutoka nchini. Walijua watu hawatakubali, wakatanguliza sheria ya kipuuzi ya kulazimishana kazi.
Sikuwahi kujua kama Putin ni bogus kiasi hicho, with bogus threats.
Ukraine wametufundisha kitu. Tusiidharau Rwanda.
Yap! Na drone haikuwakopesha. Chap ikawatoa pumzi.Warusi walilala chini ili risasi zisiwapate walipokuwa wanashambuliwa, bila kujua juu kuna drone 🤣🤣🤣
View attachment 2367588
Naam! Ila Mrussi atakuwa amechoka sana.Wengi watajisalimisha, kwa kifupi; vita inaelekea ukingoni
Mkuu; Ukiisikia risasi (mlio wa risasi)ujue umepona/umesalimika. Nadhani wengi wao hawatabahatika kuisikia risasi.Sijawahi kuona popote duniani kazi za kulazimisha, ni mara ya kwanza kuona Urusi wanalazimisha watu wao waende vitani baada ya kuona mambo yamekuwa mazito. Mtu huyo hata ukimlazimisha ataweza kupigana wakati yuko tayari ku surrender hata kabla ya kusikia risasi.
Hakika mkuu. Putin alicalculate vibaya kwenye hii vita. Halafu ukiangalia historia yake kwenye vita huwa anapoteza askari wake wengi kwa uzembe tu ,sijui mafunzo yao yakoje, hata kwa mtu ambaye siyo expert wa jeshi na vita unajiuliza why hakupita pale badala yake amekuja open namna hii?Nimeamini ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Kijiografia Urusi ina eneo kubwa sana ukilinganisha na Ukraine. Watu wengi (pro russia) waliamini kuwa Urusi angeshinda vita mapema sana. Waliangalia ukubwa wa Urusi kieneo.
Kuna watu walipokuwa wanasikia kuwa Urusi ana jeshi kubwa (900,000) walidhani ukubwa ule ndo ungemfanya ashinde vita mapema. Walisahau kuwa kwa ukubwa ule wa eneo unahitaji watu wengi (askari) kulinda mipaka na unahitaji kuwa na vifaa vingi vya kijeshi. Sasa alivyokuwa bogus aka mobilize vifaa vyote na askari wengi kuja Ukraine na msururu mrefu kama anaenda kwenye harusi.
Ukubwa ule naufananisha na mtu mwenye kitambia kikubwa kumtishi mtu mwenye six pack. Russia ana kitambi kikubwa na hawezi kupigana, Ukraine ana six pack mtiti wake ni hatari. Hicho ndo tunachokishuhudia.
Kumbe ukubwa wa pua si wingi wa kamasi. Ndiyo maana tunashuhudia kinachoitwa "partial mobilization" japo ni "full mobilization" nyuma ya pazia. Isingekuwa "full mobilization" tusingeona marathon zile za watu kutimua mbio kutoka nchini. Walijua watu hawatakubali, wakatanguliza sheria ya kipuuzi ya kulazimishana kazi.
Sikuwahi kujua kama Putin ni bogus kiasi hicho, with bogus threats.
Ukraine wametufundisha kitu. Tusiidharau Rwanda.
Wengi sana. Na wakichoka usishangae akabaki mwenyewe. Kwani Hitler na Musolin walijikuta katika hali gani.Oh! Kwa gear hiyo, Makamanda wajiandae kwani Watatolewa wengi sana.
Iran alimpa drones Russia. Sasa hivi huko Iran kuna maandamano kupinga kwa yule binti(22) kuuawa na Polisi kisa hajavaa hijabu.Hakika. Na bado tutaendelea kujifunza vitu vingi sana kwenye hii vita baina ya Juha na Mwerevu. Nilidhani baada ya kuona wanawake wanaandamana kupinga, wanajeshi baadhi yao wanagoma na kukimbia mapigano, wananchi raia wanaihama au wanaikimbia nchi; Putin atazinduka na kubaini ujinga aliofanya wa kuanzisha vita na afanye maamuzi chap ya kusitisha vita hiyo. Lakini waapi bhana; Juha kashupaza shingo. Amefika mahali anakusanya kwa lazima (kamata-kamata)vijana mitaani wavuta bangi, walamba unga na wanywa vodka eti anawapeleka depo wiki 3 then waende frontline kupambana na Ukraine ambaye ameshapata uzoefu wa zaidi ya miezi 8 kwenye vita hiyo. Ni ajabu ya mende kuangusha kabati. Ngoja waende huko frontline wataisoma namba.
Mkwara wa ku'tishia nyukilia mimi nauita ni "Bogus Threats". Russia hawezi kutumia nyukilia anajua kabisa kitakachofuata dhidi yake na watu wake. U.S, NATO na washirika wata respond accordingly.Iran alimpa drones Russia. Sasa hivi huko Iran kuna maandamano kupinga kwa yule binti(22) kuuawa na Polisi kisa hajavaa hijabu.
Wairan wamekasirika sana.Serikali imeshut down internet, US imesema itahakikisha mitandao inapatikana hasa Instagram na Whsap ambayo inatumiwa na watu wengi zaidi.
Facebook nao wanasema wanafanya juu chini ili ipatikane. So amepewa kazi ya kuzima maandamano nchini mwake huku Russia akipelekewa moto.
China na India zmeshajitenga zinamwambia amalize vita tu.North Korea yeye anarusha ballistic za majaribio. Ukiangalia hii vita inaelekea kuisha au Putin afanye maamuzi ya uwendawazimu azifyatue nyuklia kwamba sote tukose ambavyo ataiumiza sana nchi yake.
Je watamruhusu?
Uwe una acha uongo. Odessa ili pigwa makombora. Na baadae UN ika omba port ya Odessa iwe huru kuruhusu nafaka kusafirishwa. Ebu tumia akili ndogo tu ya Google: Odessa Port Hited by Russian Forces uone maajabu ya GoogleIsrael wameingiza Ukriane ant drones system(the Drone Dome) kuapambana na Drone za Urusi. Huu ndo mwisho wa drones za Urusi. Mzigo Ushafika Odessa.. Kumbuka tangu Vita ianze, Urusi wameshindwa kabisa kusogelea Mji wa Odessa wenye bandari ambayo inafanya kazi hadi leo.
View attachment 2368150
Binafsi napata wasiwasi sana hata ubora wa hizo nyuklia zake. Unaweza kuta nazo ni Obsolete, ki ufupi Mrusi ameonyesha udhaifu mkubwa sana, mpaka majenerali wastaafu wanasema ni wakati muafaka kuutumia udhaifu wa kijeshi wa Urusi!Iran alimpa drones Russia. Sasa hivi huko Iran kuna maandamano kupinga kwa yule binti(22) kuuawa na Polisi kisa hajavaa hijabu.