Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Huyu anaitwa Yuriy Leliavskyi. Alitekwa na Urusi, juzi walipobadilisha aafungwa akaachiliwa. Baada ya mapumziko akarudi Frontline. Sasa amepumzika. Ukiacha Upoti wake ambapo alikuwa captain, pia alikuwa mwandishi wa habari na msemaji wa Kikosi cha 80th assault brigade. RIP Leli😭😭😭. Hawa Warusi watatumaliza
20221004_225405.jpg
 
Huyu anaitwa Yuriy Leliavskyi. Alitekwa na Urusi, juzi walipobadilisha aafungwa akaachiliwa. Baada ya mapumziko akarudi Frontline. Sasa amepumzika. Ukiacha Upoti wake ambapo alikuwa captain, pia alikuwa mwandishi wa habari na msemaji wa Kikosi cha 80th assault brigade. RIP Leli[emoji24][emoji24][emoji24]. Hawa Warusi watatumaliza
View attachment 2377349
RIP [emoji120] camanda
 
Huyu anaitwa Yuriy Leliavskyi. Alitekwa na Urusi, juzi walipobadilisha aafungwa akaachiliwa. Baada ya mapumziko akarudi Frontline. Sasa amepumzika. Ukiacha Upoti wake ambapo alikuwa captain, pia alikuwa mwandishi wa habari na msemaji wa Kikosi cha 80th assault brigade. RIP Leli😭😭😭. Hawa Warusi watatumaliza
View attachment 2377349
Oh! very sad. Kwa kumuenzi comrade Lell; Kila juhudi ifanyike na akikutwa Mrussi anyukwe kwa hasira zote. RIP kamanda Lell
 
Miji katika Jimbo la Kherson iliyokombolewa.

1. Novopetrivka
2. Novomykolaivka
3. Novovoskresenke
4. Starosillia
5. Dudchany
6. VelykaOleksandrivka
7. DavidivBrid
Kwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.

Mrusi anajua ikichukuliwa Kherson, Crimea itakuwa the next. Wameweka nguvu kubwa sana upande huo. Sisi tumeweka nguvu kubwa kuikomboa Donbas.

Nionavyo mìmi Itachukua muda Kherson kuwa liberated. Labda mzigo mpya ukiingia site tunaweza tukapata mafanikio makubwa.
 
Hayo yamekombolewa operation ya juzi na jana babu. Kama hayo maeneo yalikombolewa mwezi uliopita, sasa jana wamekomboa nini?
 
Kwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.

Mrusi anajua ikichukuliwa Kherson, Crimea itakuwa the next. Wameweka nguvu kubwa sana upande huo. Sisi tumeweka nguvu kubwa kuikomboa Donbas.

Nionavyo mìmi Itachukua muda Kherson kuwa liberated. Labda mzigo mpya ukiingia site tunaweza tukapata mafanikio makubwa.
Si kweli Mkuu. Naona majina yamekuchanganya. Ile ilikuwa Kherkiv
 
Kwa kumbukumbu yangu, hayo maeneo tumeyakomboa zaidi ya mwezi sasa. Kwenye direction hiyo frontline ime stack. Jamaa wanatoa resistance kubwa sana.

Mrusi anajua ikichukuliwa Kherson, Crimea itakuwa the next. Wameweka nguvu kubwa sana upande huo. Sisi tumeweka nguvu kubwa kuikomboa Donbas.

Nionavyo mìmi Itachukua muda Kherson kuwa liberated. Labda mzigo mpya ukiingia site tunaweza tukapata mafanikio makubwa.
Ukraine imesonga zaidi ya KM 24 ndani ya Kherson, na kwa sasa wanajeshi wa Urusi wanaretreat

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom