Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kherson: Ukriane wamelipua Helkopta ya Urusi aina ya Ka-52 Alligator
20221019_182030.jpg
 
Mkuu figganiga wasikuvunje moyo hao wapuuzi wachache endelea kutuletea update, na wenyewe waanzishe uzi wao kuhusu Urusi
Yaani cjui ni kwa nini wanang'ang'ania uzi huu na hawataki kuanzisha uzi wao.
Nimejifunza hapo kwamba Hawa watu hawana uwezo wa kuanzisha uzi wao utakaokuwa ni endelevu ila wanachofanya ni kufanya vurugu za kitoto na lugha ya matusi ili mwezeshaji wa uwepo wa uzi huu akate tamaa.
Mm naunga mkono hoja ya Toedsloth_ na cha msingi hapa ni kuwapuuza hao wapuuzi kwa sababu wanakashifu na kupinga bila kuzingatia lengo la uzi huu na kibaya zaidi hawatoi wala kusema ukweli kwa hoja hicho wanachopinga badala yake wameshupalia lugha za maudhi tuu. Wanakera mno kwa kweli na sijui wamezuka kutoka wapi watu hawa.
 
Back
Top Bottom