figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,461
Kherson: Ukriane wamelipua Helkopta ya Urusi aina ya Ka-52 Alligator
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Urusi wamelipua helcopter ya Urusi Tena Mkuu?Kherson: Urusi wamelipua Helkopta ya Urusi aina ya Ka-52 Alligator
View attachment 2392097
Typing error.. NimeeditUrusi wamelipua helcopter ya Urusi Tena Mkuu?
Ngoja na mimi nikazie
Mbona pameandikwa Ukraine mkuu? Hebu soma vizuriUrusi wamelipua helcopter ya Urusi Tena Mkuu?
Mwenye macho haambiwi tazama kwa wale wasioamini kwamba Warussi wanateketezwa.
Naam! Kipondo kitakatifu ndo kama hicho. Ni moto kweli-kweli. Asante Ukraine.
Yaani cjui ni kwa nini wanang'ang'ania uzi huu na hawataki kuanzisha uzi wao.Mkuu figganiga wasikuvunje moyo hao wapuuzi wachache endelea kutuletea update, na wenyewe waanzishe uzi wao kuhusu Urusi
KichekoAisee [emoji16]View attachment 2392282
Wamevaa sare tu; hakuna ukakamavu hapoAisee [emoji16]View attachment 2392282
Slava Ukraine [emoji1255]Sniper wa Ukraine akimtungua Mrusi
View attachment 2392091