Wale Pro-Russia walikuwa wanamuita Putin kwa jina la "Mr. Stability" sababu kila alipotoa amri ya kuivamia nchi zingine alishinda vita kwa muda mfupi , sasa hivi baada ya kuona hakuna tumaini la kushinda vita wanamuita "Mr. Unstability" 😂😂😂.Ukraine hataki mambo mengi. Bali anataka mipaka ya Nchi iliyowekwa mwaka 1991 iheshimiwe.
Pili alipwe fidia kwa hasara iliyosababishwa na hii Vita ikiwemo kutengeneza miundombinu waliyo haribu. Na wote waliosababisha uharibifu huu wachukuliwe hatua. Basi.
View attachment 2414963
Kwa aibu Putin alishindwa hata kutoa amri ya kuondoa majeshi Kherson badala yake waziri wa ulinzi ndo akatangaza.
Kwa mziki wa Ukraine ulivyo mnene, wameanza kuparangana na kulaluana. Kremlin waliitamani sana Kherson iendelee kuwa kwao. Nyani hajapenda kutema bungo ila amelazimika.
Pro Russia walikuwa wanaishabikia sana "partial mobilization", sasa hivi wana crush kweli. Eti wanalemewa kwa sababu hawajapeleka "Professional Military Soldiers" frontline badala yake wamepeleka mobilized. Swali la kujiuliza;
1. kabla ya mobilization alikuwa anapigana nani?
2. Wagner na Chechen siyo professional soldiers
3. Lile limsururu la 64km lilikuwa la mobilized?
4. Wale wanamgambo wa Luhansk na Donetsk waliopigana miaka yote siyo wazoefu.
Ama kweli mfa maji lazima atapetape.