Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine hataki mambo mengi. Bali anataka mipaka ya Nchi iliyowekwa mwaka 1991 iheshimiwe.

Pili alipwe fidia kwa hasara iliyosababishwa na hii Vita ikiwemo kutengeneza miundombinu waliyo haribu. Na wote waliosababisha uharibifu huu wachukuliwe hatua. Basi.
View attachment 2414963
Wale Pro-Russia walikuwa wanamuita Putin kwa jina la "Mr. Stability" sababu kila alipotoa amri ya kuivamia nchi zingine alishinda vita kwa muda mfupi , sasa hivi baada ya kuona hakuna tumaini la kushinda vita wanamuita "Mr. Unstability" 😂😂😂.

Kwa aibu Putin alishindwa hata kutoa amri ya kuondoa majeshi Kherson badala yake waziri wa ulinzi ndo akatangaza.

Kwa mziki wa Ukraine ulivyo mnene, wameanza kuparangana na kulaluana. Kremlin waliitamani sana Kherson iendelee kuwa kwao. Nyani hajapenda kutema bungo ila amelazimika.

Pro Russia walikuwa wanaishabikia sana "partial mobilization", sasa hivi wana crush kweli. Eti wanalemewa kwa sababu hawajapeleka "Professional Military Soldiers" frontline badala yake wamepeleka mobilized. Swali la kujiuliza;
1. kabla ya mobilization alikuwa anapigana nani?
2. Wagner na Chechen siyo professional soldiers
3. Lile limsururu la 64km lilikuwa la mobilized?
4. Wale wanamgambo wa Luhansk na Donetsk waliopigana miaka yote siyo wazoefu.

Ama kweli mfa maji lazima atapetape.
 
Ongezea na:-
5.Je, Wale wanamgambo laki moja alioahidi Mr.Mapank (N. Korea) hawakufika kama ahadi ilivyokuwa?
6. Mrussi alitangaza Ajira na mshahara mnono kwa yeyote (Askari-mercenaries) kutoka nchi yoyote duniani -Hakupata askari wazoefu kutoka makundi ya nchi za kihafidhina? na drones zao?
 
Baada ya kuona Azov wameambiwa Waende kusafisha njia. Nikajua hawawezi kumuacha Mrusi salama. Hawa wanaobwaonesha wakiwa hai ni zuga tu. Azov anamchukia sana Urusi hadi kama una mimba anasema utazaa mtoto wa kuja kuangamiza Ukraine. Walisema ni Wafungwa wa kivita wanaondoka nao🤣🤣🤣
View attachment 2415377
Hicho ndo wanachostahili warusi. Warusi ni watu wakatili sana bora na wao wafanyiwe ukatili.

Safi sana 👏👏👏👏
 
Ikitokea warusi wakalipua HIMARS moja tu, hatutalala Siku hiyo kwa jinsi ambavyo pro Russia watapiga propaganda. Warusi wanatamani wateke hata HIMARS moja tu waitumie.

Kama HIMARS zote kumi na sita (16) na M270 kumi (10) bado zinapiga mzigo, maana yake Russia kashindwa kuzi detect zilipo.

Sasa kama zimesogea karibu na Crimea hilo daraja halitabutuliwa kweli.
Ni ngumu kuzipiga sababu, zinapiga na kusepa. Afu tatizo ni kuwa HARM zimesababisha Urusi kuzima radars zao hivyo counters huwa hazifanyi kazi
 
Yupo vitani?au alipiga picha tu
Mkuu; Hivi inawezekana Frontline kweli pakawa ni mahali pa kufanya mchezo/dhihaka ya kushika mtutu halafu kupiga picha tu? Cjui lakini ngoja watakuja kukupa mwongozo. (Ref. No.8,717- 8,719)
 
Ungetazama Zhuhai Airshow 2022 inayoisha kesho ungeona progress ya Wachina. Russia hampigi Mchina kwa sasa, hana uwezo huo
Ila China hajawahi kuwa kwenye vita yoyote ya maana hivi karibuni, hivyo hana uzoefu.
Urusi baada ya hii vita miaka 20 ijayo atakuwa vizuri
Hatavamia kama alivyovamia hivi juzi
 
Ongezea na:-
5.Je, Wale wanamgambo laki moja alioahidi Mr.Mapank (N. Korea) hawakufika kama ahadi ilivyokuwa?
6. Mrussi alitangaza Ajira na mshahara mnono kwa yeyote (Askari-mercenaries) kutoka nchi yoyote duniani -Hakupata askari wazoefu kutoka makundi ya nchi za kihafidhina? na drones zao?
Ongeza na hii; anasubiria msimu wa baridi uanze apige pigo moja amalize vita. Msimu wa baridi bado haujaanza?
 
Ila China hajawahi kuwa kwenye vita yoyote ya maana hivi karibuni, hivyo hana uzoefu.
Urusi baada ya hii vita miaka 20 ijayo atakuwa vizuri
Hatavamia kama alivyovamia hivi juzi
Kama kuna nchi itawekeza kupitiliza katika jeshi kwa kutambua aina ya jirani iliye naye basi nchi hiyo ni Ukraine. Huenda wakafufua hadi nyuklia walizo-abando miaka ya 90. Inaenda kuwa one of the military super powers.
 
Baada ya kuona Azov wameambiwa Waende kusafisha njia. Nikajua hawawezi kumuacha Mrusi salama. Hawa wanaobwaonesha wakiwa hai ni zuga tu. Azov anamchukia sana Urusi hadi kama una mimba anasema utazaa mtoto wa kuja kuangamiza Ukraine. Walisema ni Wafungwa wa kivita wanaondoka nao🤣🤣🤣
View attachment 2415377
Yeah.Haipendezi kumtoa roho binadamu mwenzako LAKINI kwa habari ya askari-Mrussi hilo ni jambo lingine. Mrussi aliwatendea raia wa Ukraine (esp. Raia wasiojua hata kushika bunduki) ukatili mkubwa sana wa kiwango cha Phd kule Bucha na pale Mariupol (askari na raia-AZOV).
Kwa Mantiki hiyo Mrussi-askari hastahili hata kidogo kuonewa chembe ya huruma. Cjui ile biashara ya ngozi za binadamu iliishia wapi. Yaani Ngozi zao zingepata soko chaap.
 
Ni ngumu kuzipiga sababu, zinapiga na kusepa. Afu tatizo ni kuwa HARM zimesababisha Urusi kuzima radars zao hivyo counters huwa hazifanyi kazi
Wakisikia mlio wake "Ko Ko Ko Ko Koo" wanatafutana. Kama mtu anakohoa vile 😂😂😂kumbe ndo inafanya yake. Ile machine imetulia sana haina mlio wa kutisha lakini mtiti wake ni balaa. 😂😂😂
 
Kama kuna nchi itawekeza kupitiliza katika jeshi kwa kutambua aina ya jirani iliye naye basi nchi hiyo ni Ukraine. Huenda wakafufua hadi nyuklia walizo-abando miaka ya 90. Inaenda kuwa one of the military super powers.
Tusubiri vita iliyopo uwanjani sasa iishe/imalizike. Muda ndio Utakaosema. Hakika Ukraine atakuwa amejifunza kitu hapo.
 
Ila China hajawahi kuwa kwenye vita yoyote ya maana hivi karibuni, hivyo hana uzoefu.
Urusi baada ya hii vita miaka 20 ijayo atakuwa vizuri
Hatavamia kama alivyovamia hivi juzi
1. Kwa kilichompata Mrusi safari hii, mwekee miaka 200 ndo atafikiria kuingia vitani.

2. Ukraine, Sweden, Finland, Georgia etc wakijiunga NATO hatakuwa na nchi ya kuikoromea badala yake yeye ndo atakuwa anakoromewa na nchi ndogo kama Latvia au Estonia.

3. Vita hata ikiisha Ukraine lakini bado ataendelea na kibano cha vikwazo vya kiuchumi kutoka EU, USA na washirika wake. Lazima atasinyaa tu kiuchumi. Kumbuka kuna mambo mengi yanamsubiria "War Crime, compensation kwa Ukraine, etc). Hivi ndo vitamfanya aendelee kuwekewa vikwazo.

4. Urusi sasa hivi itakuwa ngumu sana kupigana na nchi nyingine, atabaki kuwapa support tu washirika wake.

5. Vita ya Ukraine ni funzo kubwa sana hata kwa nchi zilizo kwenye makwapa ya Russia. Hawapendi iwe hivyo, vitisho vya Russia ndo vinawafanya wawe makoloni. Usije kushangaa Lukashenko akitoka madarakani Belarus ikaomba kuwa mwanachama wa EU na NATO. Kwa mrusi kuivamia atajitafakari sana na hatadhubutu kwa somo alipopata.

6. China inaamini vita na NATO, USA haiwezi. Focus ya china ni kukuza uchumi wake. Ndo maana USA ameanza kuwa na wasiwasi kuwa jamaa wanaweza kumpita kiuchumi.
 
Mkuu; Haya madini sana; Imekaa vizuri.
 
Kama kuna nchi itawekeza kupitiliza katika jeshi kwa kutambua aina ya jirani iliye naye basi nchi hiyo ni Ukraine. Huenda wakafufua hadi nyuklia walizo-abando miaka ya 90. Inaenda kuwa one of the military super powers.
Uko sahihi kwenye eneo hili;
1. Ukraine itajiimarisha sana kijeshi na huenda ikawa nchi mojawapo ya EU yenye jeshi Bora. Watawekeza sana kwenye mafunzo na silaha za kujilinda, hasa kulinda anga na makombora ya masafa marefu.

2. Itasaidia sana nchi ambazo zitaonewa na Russia, pengine kwa kupeleka hata wanajeshi wake na silaha. Russia sasa hivi ni adui wa kudumu kwa Ukraine. Mauaji aliyofanya mrusi dhidi ya wa-Ukraine hayatafutika vizazi na vizazi.

Mambo ambayo hataweza kuwafanya ni
1. Kufufua Nukes zake. Sheria za kimataifa lazima ataziheshimu. Kumbuka atakuwa sehemu ya EU na NATO hatakuwa na sababu ya kufanya hivo.

2. Kuwa military super powers itakuwa ngumu sana. Kuna watu wamepigàna vita enzi na enzi lakini bado hawajawa Military Super powers. Mfano ni Israel. Vita hii itamfanya aimarishe sana jeshi lake na technology ya kutengeneza silaha zake. Kumbuka uchumi wa Ukraine utachukua miaka mingi sana kuwa recovered. Atakuwa na burden kubwa sana ya kulipa madeni na kufufua uchumi wake. Huwezi kuwa super power kama una uchumi mdogo. La sivyo utakuwa kama Russia kuwa ni Super Powers kumbe ni SUPU power hana chochote ni propaganda tu.
 
Ongeza na hii; anasubiria msimu wa baridi uanze apige pigo moja amalize vita. Msimu wa baridi bado haujaanza?
Baridi ni kwa binadamu sio technology. Acheni mawazo ya kizamani. Nani kasema sasa hivi Ukraine hamna baridi? Kumbuka vita inapiganiwa Ukraine sio Urusi. Pigo gani unategemewa liltwe na baridi au joto? Acheni fikra potovu.

Kwani Ukraine na Urusi kuna tofauti gani ya hali ya hewa? Propaganda tu.

Ingekuwa baridi ni silaha, zingeshatengenezwa. Kwamba baridi inazuia Risasi za kikatili?
 
Back
Top Bottom