Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20221223_183424.jpg
20221223_183426.jpg
20221223_183428.jpg
 
Putin na Urusi yake wamepelekewa Moto, hadi hawasemi special military operation tena. Wanasema War. Walijua mchezo
View attachment 2455979
1. Alikuwa hataki kusikia mtu anaita "War" kuwa ni "War" au kutumia neno invasion. Aliwafunga zaidi ya miaka 7 waliodhubuti kuita "vita" ni "vita". alitaka waseme "Special military operation".

2. pamoja na kukiri kuwa ni "war", kaenda mbali zaidi kwa kusema "........ we are striving to end this war". Maana yake katepeta hana hamu tena. Anavizia uchochoro wa atatokaje kwenye hili.

3. Analalamika kuwa kitendo cha US kuendelea kui support na kuipa Patriot missile system Ukraine eti ni "..... US is prolonging the war". Eti sasa anapigana direct na US badala ya Ukraine, utadhani ana ubavu wa kupigana direct na USA.

4. Anakiri kuwa mobilization ilikuwa na kasoro nyingi. Anakiri kuwa frontline hawana supplies za kutosha. Kwamba sasa wananchi wanajitolea kununua hadi Socks za wapiganaji wake. Halafu ndo wapambe wanaimba super power. Kuanzia January tutasikia mengi.
 
Mwezi mmoja baada ya Vita kuanza Urusi walifanikiwa kiteka hilo eneo lote lenye rangi nyekundu nchini Ukraine.
20221224_140824.jpg

Baada ya miezi nane wamebakiwa na hillo eneo jekundu. Hadi mwaka uishe watajuta
20221224_140947.jpg
 
Mwezi mmoja baada ya Vita kuanza Urusi walifanikiwa kiteka hilo eneo lote lenye rangi nyekundu nchini Ukraine.
View attachment 2456619
Baada ya miezi nane wamebakiwa na hillo eneo jekundu. Hadi mwaka uishe watajuta
View attachment 2456620
Kazi kubwa na nzuri imefanyika,
ukraine walianza na Mungu,wanaendelea na Mungu na tunawaombea wamalizie na Mungu
mkuu muumba wa mbingu na nchi,
 
Back
Top Bottom