OSEFUKANY
JF-Expert Member
- Jan 16, 2011
- 2,437
- 3,896
Ni muda mwafaka kwani mwelekeo wa game linavyoendelea hiyo miji mitatu Svatove, Kreminna na Bakhmut ni uhakika itakombolewa sio muda mrefu.Kama atafanikiwa kurudisha maeneo mengi yaliyokwishatekwa huenda akawa na 'upper hand' ila kwa Sasa bado mapema.
Halafu umewasikia Mamluki (Wagner)wanavyolilalamikia jeshi la Urussi. Hiyo ni ishara ya kuwa huko ndani Hali sio shwari hadi Urussi wanahamisha ndege-vita ili zisisambaratishwe kwa kipigo kutoka frontline ya Ukraine