Huyo mwanasiasa ni muflisi kisiasa. Anakumbuka shuka wakati kumekucha. Urussi ndo imeshalegezwa na kilichobaki sasa ni kupigwa kama ngoma.
1. Yule muuaji (Wagner) mwenyewe amekiri kwamba hii ngoma ni nzito - Mrussi itamchukua muda zaidi miaka 2 kufikia lengo lake.
2. Ukraine kila uchao anazidi kupata support ya kimataifa dunia nzima
3. Kipigo anachopata Mrussi kwa sasa si cha kawaida e.g. Brigade 155 Guards Naval infantry... yote Imeteketezwa
4. Zipo ishara za wazi e.g. wanasiasa kuchoshwa na vita kitu ambacho kitaua kabisa morale wa askari na mbaya zaidi morali kwa Raia wa Urussi.
Katika hali kama hiyo ni rahisi kuanzisha kundi la vuguvugu kuiondoa Serikali iliyopo madarakani(Mapinduzi).
****5. Zipo tetesi katika baadhi ya mitandao kwamba Putin aliyeko madarakani kwa sasa sio Putin Original. Huyu wamemwita Putin Double.
Tafadhali, mwenye abc za hii kitu atufumbue macho na kututanabahisha hii kitu inamaanisha nini.(
Wameweka hata picha zao Original Putin na Putin Double ) e.g. Hiyo picha hapo juu ni Putin Double sio Putin Original.
Original Putin (left) and Putin’s Double (right)?