Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Prigozhin, Kiongonzi wa Wagners huko Bakhmut, amesema idadi ya Wsnajeshi wa Urusi wanaokufa kwa siku, ni zaidi ya takwimu ya watu 145,060 ambayo Ukraine wanasema.

Kasema ni wengi zaidi ya hao na akaonesha picha ya baadhi waliokufa kwa siku moja Bakhmut
Hii picha ni Wanajeshi wa Urusi wamekufa kwa siku moja Bakhmut
20230222_202219.jpg

20230222_203240.jpg
 
Ki ukweli Wagner wanapiga mzigo. Counter offensive wanayoifanya kaskazini mwa Bakhmut huenda ikasababisha majeshi ya Ukraine yaka retreat Bakhmut soon. Boss wa Wagner yuko sahihi kulalamika upungufu wa silaha. Maana kuanzia Jan mpak Feb 2023 wamefanya kazi kubwa sana kwa kuchukua eneo kubwa Direction ya Bakhmut.

Njia kuu zote kaskazini mwa Bakhmut ziko under Russia control na sasa wameanza kusonga mbele kwa kasi kuelekea Slovyansk na Kramatorsk. Ukraine troop lazima wata retreat kama hali hii itaendelea kabla ya mwisho wa mwezi huu.

Something has to be done by Ukrainian to reinforce their troops to rescue the situation.
Mkuu, sahamani na hii tip yako naithamini. Tunaomba utuambie hizo njia kuu ambazo Urusi (wagners) wamezikamata. Nutajie jina tu. Na wamekamata lini. Hii itasaidia kujua kama Urusi inaadvance Donetsk. Sababu kutoka hapo Kramatorsk hadi Bakhmut ni km 50 tu. Wameadvance lini?

Ni ajabu mtu alalamike risasi na silaha kupungua na watu kufa kisha asonge mbele. Nisaidie chanzo cha habari. Hili ni jambo kubwa. Just nitajie majina Warusi wanaposonga mbele kuanzia jumapili. Asante, tuweke kumbukumbu sawa

Kumbuka kuna sehemu Russia anashikilia tangu mwaka 2014. Kikubwa ni kujua kama kuna taarifa zinafichwa za Ukriane kupoteza
 
Prigozhin, Kiongonzi wa Wagners huko Bakhmut, amesema idadi ya Wsnajeshi wa Urusi wanaokufa kwa siku, ni zaidi ya takwimu ya watu 145,060 ambayo Ukraine wanasema.

Kasema ni wengi zaidi ya hao na akaonesha picha ya baadhi waliokufa kwa siku moja Bakhmut
Hii picha ni Wanajeshi wa Urusi wamekufa kwa siku moja Bakhmut
View attachment 2526742
View attachment 2526757
Akifika Fisi hapo kitu cha kwanza lazima acheke kabla hajaanza kuwatafuna. Ataanza na wenye matumbo wazi 😂😂😂😂

Hiyo mbolea ikiachwa miezi sita hiyo Alizeti itakayoota hapo itamea sana. Unaweza ukavuna tani 2 kwa eneo tu hilo. 😂😂😂
 
Prigozhin, Kiongonzi wa Wagners huko Bakhmut, amesema idadi ya Wsnajeshi wa Urusi wanaokufa kwa siku, ni zaidi ya takwimu ya watu 145,060 ambayo Ukraine wanasema.

Kasema ni wengi zaidi ya hao na akaonesha picha ya baadhi waliokufa kwa siku moja Bakhmut
Hii picha ni Wanajeshi wa Urusi wamekufa kwa siku moja Bakhmut
View attachment 2526742
View attachment 2526757
1. Huenda kiongozi wa Wagner kachoka na Vita ndiyo maana kaonyesha picha hizi kwa makusudi ili wananchi wa Russia wajue na wampigie kelele Putin asitishe vita. Hii siyo bahati mbaya.

2. Huenda pia imemgusa sana kwa kuwa ni wanajeshi wa Wagner group. Muda utaongea tu.
 
Mkuu, sahamani na hii tip yako naithamini. Tunaomba utuambie hizo njia kuu ambazo Urusi (wagners) wamezikamata. Nutajie jina tu. Na wamekamata lini. Hii itasaidia kujua kama Urusi inaadvance Donetsk. Sababu kutoka hapo Kramatorsk hadi Bakhmut ni km 50 tu. Wameadvance lini?

Ni ajabu mtu alalamike risasi na silaha kupungua na watu kufa kisha asonge mbele. Nisaidie chanzo cha habari. Hili ni jambo kubwa. Just nitajie majina Warusi wanaposonga mbele kuanzia jumapili. Asante, tuweke kumbukumbu sawa

Kumbuka kuna sehemu Russia anashikilia tangu mwaka 2014. Kikubwa ni kujua kama kuna taarifa zinafichwa za Ukriane kupoteza
Asante sana kwa kutaka kujua zaidi kwa takwimu.

1. Njia kuu ya kutoka Bakhmut kuelekea Lysychans'k via Soledar iko under control ya Russia/wagner tangu January 2, 2023.

2. Njia kuu ya kutoka Bakhmut kuelekea Sivers'k iko under control ya wagner/Russia tangu January 13, 2023.

3. Njia kuu kutoka Bakhmut kuelekea Slovyansk iko under control ya Russia/Wagner tangu February 18, 2023.

4. Njia kuu pekee iliyo under control ya Ukrainian troops ni kutoka Bakhmut kuelekea Kramatorsk via Kostyantynivka. Lakini na yenyewe ilianza kuwa threatened kuanzia Jan 25, 2023 upande wa kusini mwa Bakhmut baada ya mji mdogo wa Klishchiivka kuchukuliwa na Russia/Wagner kuanzia January 19, 2023. Russia wasingethibitiwa njia hii nayo ingekuwa under control ya Russia.

5. Counter offensive iliyopigwa na Wagner February 18 na 19, 2023 kaskazini mwa Bakhmut na kuwafanya wawe na udhibiti wa sehemu kubwa njia kuu ya kuelekea Slovyansk ndo iliyonitisha na kusema kuwa zisipochukuliwa hatua madhubuti za kuidhibiti hali hii Ukraine italazimika ku retreat Bakhmut.

6. Wanachokifanya wagner ni ku paralyze supply logistic kuingia Bakhmut. Wameiga mbinu ya Ukraine japo wao wanatumia nguvu kubwa sana inayoambatana na vifo vingi.

Kumbukumbu rejea.
Kabla ya mji wa Soledar na Salt mines kuchukuliwa nilisema kuwa Ukraine troops atalazimika ku retreat Soledar kwa hali ilivyokuwa lakini wewe mwenyewe ulipinga na watu wengine walinipinga sana. Baada ya siku 5 Ukraine ili retreat Soledar na Salt mines.
 
Chanzo cha taarifa yako ndo tubaomba ili tujiridhishe mkuu!!
 
Weka chanzo cha taarifa ndugu yangu wala, usiongee kama vile hujui kuwa na sisi tinafatilia hii viat!!
 
Prigozhin, Kiongonzi wa Wagners huko Bakhmut, amesema idadi ya Wsnajeshi wa Urusi wanaokufa kwa siku, ni zaidi ya takwimu ya watu 145,060 ambayo Ukraine wanasema.

Kasema ni wengi zaidi ya hao na akaonesha picha ya baadhi waliokufa kwa siku moja Bakhmut
Hii picha ni Wanajeshi wa Urusi wamekufa kwa siku moja Bakhmut
View attachment 2526742
View attachment 2526757

Slava Ukrain
 
Asante sana kwa kutaka kujua zaidi kwa takwimu.

1. Njia kuu ya kutoka Bakhmut kuelekea Lysychans'k via Soledar iko under control ya Russia/wagner tangu January 2, 2023.

2. Njia kuu ya kutoka Bakhmut kuelekea Sivers'k iko under control ya wagner/Russia tangu January 13, 2023.

3. Njia kuu kutoka Bakhmut kuelekea Slovyansk iko under control ya Russia/Wagner tangu February 18, 2023.

4. Njia kuu pekee iliyo under control ya Ukrainian troops ni kutoka Bakhmut kuelekea Kramatorsk via Kostyantynivka. Lakini na yenyewe ilianza kuwa threatened kuanzia Jan 25, 2023 upande wa kusini mwa Bakhmut baada ya mji mdogo wa Klishchiivka kuchukuliwa na Russia/Wagner kuanzia January 19, 2023. Russia wasingethibitiwa njia hii nayo ingekuwa under control ya Russia.

5. Counter offensive iliyopigwa na Wagner February 18 na 19, 2023 kaskazini mwa Bakhmut na kuwafanya wawe na udhibiti wa sehemu kubwa njia kuu ya kuelekea Slovyansk ndo iliyonitisha na kusema kuwa zisipochukuliwa hatua madhubuti za kuidhibiti hali hii Ukraine italazimika ku retreat Bakhmut.

6. Wanachokifanya wagner ni ku paralyze supply logistic kuingia Bakhmut. Wameiga mbinu ya Ukraine japo wao wanatumia nguvu kubwa sana inayoambatana na vifo vingi.

Kumbukumbu rejea.
Kabla ya mji wa Soledar na Salt mines kuchukuliwa nilisema kuwa Ukraine troops atalazimika ku retreat Soledar kwa hali ilivyokuwa lakini wewe mwenyewe ulipinga na watu wengine walinipinga sana. Baada ya siku 5 Ukraine ili retreat Soledar na Salt mines.
Mkuu, sisi barabara yetu ya Supply ni ya Izyum. Ndo maana vita ilipigwa sana Izyum. Hizi nyingi ni barabara kuelekea Frontline ilipo. Mimi sipingi ila napenda kujihakikishia.. Sababu Warusi wanaongeaga uongo sana. Ndo maana tangu vita ianze wanasema wanashinda wao tu. Hata wanaposhindwa wanaretreat kwa kusema ni good will
 
Barabara za supply. Hapo pekundu pako chini ya Urusi, sio rahisi barabara ikawa chi ya Ukraine. Barabara zilizopo chini ya Ukraine ni maeneo ambayo Ukraine imeyakomboa. Kumbuka haya maeneo ya Donetsk yapo chini ya Urusi tangu 2014. UKRAINE inafanya kutarudisha. Kuna sehemu walipiga kura ya kujiunga na Urusi lakini Ukriane imeyachukua. Donetsk na Luhansk Urusi ilishaweka Mizizi. Jeshini kuretreat ni jambo zuri kuliko kuzungukwa mkawekwa watu kati. Kumbuka Ukraine ina Rasilimali watu ndogo ukilinganisha na Urusi. Hadi sasa mji wa Severodonetsk ndo Ukraine walireteat tangu juni,yaani waliuachilia. Sehemu nyingine mapambano yanaendelea. Bado tunaamini kwa silaha mpya Ukraine imepata, itasonga mbele. Tujipe muda
Screenshot_20230223-031114.png
Screenshot_20230223-031245.png
Screenshot_20230223-031506.png
Screenshot_20230223-031709.png
Ukraine-Russia-war-01.29.23.jpg
 
Back
Top Bottom