kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
STUGNA P ni silaha ambayo ukipiga target unaona na ukikosea unaona. Hizi ni anti-tank zinazotengenezwa na Ukraine
View attachment 2543170
Slava ukrain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
STUGNA P ni silaha ambayo ukipiga target unaona na ukikosea unaona. Hizi ni anti-tank zinazotengenezwa na Ukraine
View attachment 2543170
Haya Makombora ya Kimarekani yanaitwa The Joint Direct Attack Munition (JDAM). Yakitua ardhini yanakuwa na uzito hadi kg 900. Wiki ya pili sasa yanatumiwa na ndege Frontline Ukriane
View attachment 2543173
Naona ICEYE satellite wameamua kutumia Vita ya Ukriane kama sehemu ya kuboresha mitambo yao. Wameweza kuisaidia Ukriane kubainisha sehemu ambapo Magari ya Adui yalipo na Ukraine inafanikiwa kuyalipua.
Defence Intelligence ya Ukraine imetanabaisha kwamba ndani ya miezi 5, ICEYE imesaidia kufanimisha Target 7321 za maadui
Kati ya hizo Target, waliweza kulipua;
[emoji3502] 45 airplanes;;
[emoji3502] 27 helicopters;
[emoji3502] 6 Iskander air defense systems;
[emoji3502] 36 S-300 AIR DEFENSE SYSTEMS;
[emoji3502] 12 "Pantsir-S1" air defense system;
[emoji3502] 11 RADAR;
[emoji3502] 10 pontoon crossings.
View attachment 2543206View attachment 2543207View attachment 2543208View attachment 2543209
Aliyekuwa Kamanda wa Azov, Maxim Zhorin "Mose" sasa hivi kapewa cheo cha Major. Yupo Frontline Bakhmut. Anasema Warusi wanaovamia Bakhmut hawatakiwi kuonewa huruma hata wakijisalimisha. Sababu Mrusi hafai kuishi Ukriane
View attachment 2543215View attachment 2543216
Wagners wamekutana na Azov huko Bakhmut. Vidole vinavyo fatulia risasi wananchi wa Ukriane, kiganja kimoja huku kingine kule[emoji1787] Yaani hawa jamaa
View attachment 2543237
Walijua wamezungukwa tayari kumbe ni ng’ombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2543250
Mwili wa mpambanaji Dmytro Kotsyubailo 'Da Vinci' umefikishwa mjini kwao. Watu wanapiga Magoti kutoa heshima za mwisho kwa kamanda huyu. Alipendwa sana. RIP
View attachment 2543368
Hahahaa! Hao walikuwa ni marehemu waliokuwa wanatembea wakiwa hai na wamechoka sana. Hapo wamehitimishiwa safari yao.
Utasikia "Jagajagaa".Guess what happens next🤣🤣🤣
View attachment 2543967
Dah! Jamaa (Azov) wapo kikazi zaidi. Safi sana -hata but ya silaha tupa kule.Wagners wamekutana na Azov huko Bakhmut. Vidole vinavyo fatulia risasi wananchi wa Ukriane, kiganja kimoja huku kingine kule🤣 Yaani hawa jamaa
View attachment 2543237
Jamaa kapigwa bao Tano(5) non stop. 😀 💪 Inapendeza ujue.
Hata ng'ombe wamekuja kuwapa "Hi" wapambanaji wa Ukraine. Ng'ombe wanajua wakienda kuwasalimia Ukraine wataendelea kuwa salama na sio Mrusi kwani Mrusi aliwauwa ng'ombe wengi bila sababu siku za nyuma katika vita hii.Walijua wamezungukwa tayari kumbe ni ng’ombe🤣🤣🤣
View attachment 2543250
Hao ni Washenzi. si ni Waende kumwomba msamaha aliyewaleta Ukraine??. Hapo ni kipondo tu.
Amepitiwa na usingizi wenzake wakamwacha. 😂😂😂