Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Naona ICEYE satellite wameamua kutumia Vita ya Ukriane kama sehemu ya kuboresha mitambo yao. Wameweza kuisaidia Ukriane kubainisha sehemu ambapo Magari ya Adui yalipo na Ukraine inafanikiwa kuyalipua.

Defence Intelligence ya Ukraine imetanabaisha kwamba ndani ya miezi 5, ICEYE imesaidia kufanimisha Target 7321 za maadui

Kati ya hizo Target, waliweza kulipua;
[emoji3502] 45 airplanes;;
[emoji3502] 27 helicopters;
[emoji3502] 6 Iskander air defense systems;
[emoji3502] 36 S-300 AIR DEFENSE SYSTEMS;
[emoji3502] 12 "Pantsir-S1" air defense system;
[emoji3502] 11 RADAR;
[emoji3502] 10 pontoon crossings.
View attachment 2543206View attachment 2543207View attachment 2543208View attachment 2543209

Slava Ukrain
 
Guess what happens next🤣🤣🤣
20230310_085240.jpg
 
Huwa nafuatilia sana kuhusu Azov. Huyu Mrusi kakutwa kavaa nguo za Jeshi la Ukriane. Wanataka awaambie wamemuua nani hadi akapata sare ya Ukraine. Naamini atasema kaua nani
 
Back
Top Bottom