Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa kuna Wanajeshi 6 wa Ukraine. Waliwapelekea moto Ursi hadi wakakimbia. Warusi walitaka kuingi kwenye handaki lakini wakutana vijana wapo imara. PART TWO: T-pattern. Hawa Warusi kidogo watutoe roho. Uzuri alokuwa na Drone alikuwa anaelekeza adui alipojificha.
 
Mkuu wa Majeshi wa Ukraine aValerii Fedorovych Zaluzhnyi amemtunuku tuzo ya heshima kutoka kikosi cha 92nd Independent Mechanized Brigade aitwaye Sirk Ruslan Zubarev kwa ushujaa alionesha kuwaua Warusi waliovamia handaki lao. Aliwapelekea moto hadi Warusi wakakimbia
 
Sirk Ruslan Zubarev mwenyewe aliyeua Warusi kama sisimizi ndo huyu, dogo tu. Jeshi la mtu mmoja
20230327_180217.jpg
 
Back
Top Bottom