Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Ukraine imekataa ku retreat lakini ukweli Bakhmut inachukuliwa na Russia.
1. Offensive iliyofanywa na Wagner/Russia tarehe 5-8/04/2023 imefanya Robo tatu ya Bakhmut kuwa chini ya Wagner/Russia. Bado narudia kusema kuwa, kwa Bakhmut Ukraine imezidiwa mbinu za kijeshi na kwamba Bakhmut inachukuliwa soon na Russia.
2. Nimesema mara nyingi kuwa wagner/russia kwa direction ya Bakhmut si wa kubezwa kwa propaganda. They are real fighting to take Bakhmut at any cost. Kwa sasa sina shaka kabisa Bakhmut inachukuliwa soon.
3. Kuchukuliwa kwa Bakhmut kutai cost Ukraine na kuwavunja moyo wa-ukraine na wapiganaji. Kama mimi inaniuma kiasi hicho kwa wapiganaji na wa-ukraine wanapata maumivu kiasi gani kwa kuipoteza Bakhmut.
4. Bado nawalaumu USA & allies kwa kutusaidia kimafungu mafungu badala ya kutupa silaha kwa wakati unaotakiwa. Najua lengo lao ni kurefusha vita lakini wana waumiza waukraine.
Bakhmut ni sehemu ambayo warusi waliamua kuconcentrate fire power yao. Badala ya kuitawanya power kama walivyofanya mwanzoni, sasa wanaconcentrate power sehemu moja wanadeal nayo kisha wanasonga kwingine.
Hii ina faida na hasara zake. Faida ni kuwa unakuwa na chance ya breakthrough kwa kuweka relentless pressure. Hasara ni kuwa unapoteza watu wengi sana.
Mbinu ya vita ya wagner, ya hybrid warfare kati ya guerilla na conventional ni mbinu ngumu sana kuidefend, maana inaprovide stream ya wapiganaji wanaokuja kimafungu bila kuisha, at the same time wanakusanya taarifa za positions zenu na kuzirusha kwa watu wa mizinga.
Lakini kingine kinachowasaidia wagner ni kuwa Wanapigana kwa ajili ya Uhuru wao binafsi, yaani mtu anapigana ili miezi sita iishe awe huru kurudi uraiani badala ya kuozea jela. Hii component ya kununua Uhuru kwa kuvuja jasho vitani ni muhimu sana. Tofauti na askari wa jeshi rasmi la Urusi, hawa hawana cha kupigania zaidi ya kulinda roho zao tu.
Ukraine inahitaji Intelijensia kali, kubaini control na command centees za wagner na kuziharibu.
Ukraine Inahitaji kuwa on offensive kuwafuata waliko, siyo kuwasubiri waje.
Ukraine imsake Prigozhin kwa udi na uvumba, ikimdedisha huyu, itakuwa imefanikiwa kuondoa kiungo muhimu sana cha wagner