Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kufa ni mipango ya Mungu sio Matakwa ya binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai na kuiona leo. Kila binadamu ana misukosuko. Mrusi anapigwa balaa. Soon tutakuwa active.

Nipo gado na updates za kuwaeleza jinsi Urusi anakung'utwa zinaendelea.

Mwezi wa kumi sasa Urusi anapambana kuiteka Bakhumut lakini anatoa kamasi tu.
Ee'huuuu.
Tunafurahi tena kuwa na wewe. Walio leta uchuro hapa(Warusi wa Rau madukani) wamefedheheka.
 
Leo ni zaidi ya siku ya 400. Wavamizi wanatuonea na kutuua bila kosa kuwatendea. Nasi tutazidi kujihami. Mrusi atakayekuja mbele yetu halali yetu. Kwani ukiwa na Uwezo lazima umvamie jirani? Orcs rudini kwenu Urusi. Acha kuangamiza kizazi cha Ukriane. Hamtatuua mtumalize. Kizazi cha Ukriane kila siku kinazaliana
 
20230428_203427.jpg
 
Back
Top Bottom