Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Bakhmut kisiki cha mpingu
20230512_235642.jpg
 
Huko Bakhmut kwa mara ya kwanza Urusi wamerudi nyuma, kuretreat baada ya kupelekewa moto. Kaskazini mwa Bakhmut hali si nzuri kwa Vijana wa Urusi. Frontline ua Ukriane imesonga Mbele.
20230513_002929.jpg
20230513_002933.jpg
 
Vijana wa Moscow wameamua kujisalimisha Bakhmut. Sema hapa hawa wanajeshi wa Ukraine wamekosea. Inatakiwa mkiteka adui, mnamvua kofia ya Chuma na Jaketi ya kuzuia Risasi ili akijaribu kutoroka, popote utakapo piga risasi iingie.
 
Russia inapambana kuisambratisha mitambo miwii ya kuzuia makombora toka Marekani na Ujerumani iliyoko Ukraine. Mitambo hiyo aina ya "Patriotic" inaweza kutambua makombora yakiwa umbali mrefu sana hivyo kuwa na uwezo wa kuzuia makombora ya masafa ya kati ya Russia.

Kutokana na uwezo huo wa kutambua makombora (Detect) yakiwa mbali, hali hiyo inaifanya mitambo hiyo pia kuwa dhaifu kudukuliwa mahali ilipo. Tofauti na mitambo mingine ya kudungulia makombora ambayo inahamishika, Patriotic haihamishiki hivyo kufanya kama masafa yake yakidukuliwa kuwa rahisi kushambuliwa na Makombora ya adui,

Mitambo hiyo ambayo tangu iingie Ukraine ina chini ya mwezi, imepelekwa huko mapema baada ya wanajeshi wa Ukraine kufuzu mafunzo ya awali ya matumizi ya mitambo hiyo mapema zaidi kuliko ilivyotarajiwa.

Sasa mitambo hiyo ndiyo inatumika kudungulia makombora ya Russia aina ya Hypersonic ya Kinzhal au Killjoy. Russia imesema mitambo hiyo ndiyo itakuwa lengo la kwanza kushambuliwa na makombora kwa lengo ya kuendelea kulifanya anga la Ukraine kuwa tupu dhidi ya mashambulizi hayo ya Russia.

Mei 6 Mwaka huu baada ya masafa ya Patriotic kudukuliwa na Russia, Russia ilirusha makombora kadhaa aina ya Kinzhal kwa lengo ya kuushambulia mmojawapo wa mitambo hiyo lakini makombora hayo yalidunguliwa na mitambo hiyo.

Kutokana na Russia kuwa na uwezo wa kudukua masafa ya mitambo hiyo hata kama kuna masafa Kanyaboya (camouflage frequency) yanayotumiwa na mitambo hiyo kupoteza ilipo, wizara ya Ulinzi ya Marekani na Jeshi la Ukraine wanatafuta njia ya kuilinda mitambo hiyo ili isishambuliwe na Russia kwa kuongeza ulinzi wa kielektronik ili kulinda masafa ya mitambo hiyo yasitambuliwe wakati ikitafuta uelekeo wa makombora yanayorushwa toka Russia.
 
1. Ndiyo maana mimi huwa nasema vita hii haiwezi kuisha mapema sababu mojawapo ni kwamba Ukraine inatumika kama testing field ya military equipment. USA & German wana test Technology zao. Kama zina weakness wataziboresha (Upgrade the software) na kuendelea na testing.

2. Wanaume hawa (German & USA) wakiamua kumaliza vita ndani ya miezi 3 wanaimaliza. Ila wanataka wamjue adui ana nini. Wanajua ana nini ila wanataka ku prove alichonacho kina uwezo gani?

3. German katoa package nyingine ya IRIS-T nne (4), Leopard kadhaa na machine zingine. USA naye hivi karibuni katoa package yenye air defense systems nyingi likely Patriots.

4. Swali nalojiuliza, Russia atahimili wave ya silaha hizi kama amefikia hatua ya kuomba silaha kutoka South Africa?
 
Fanfa hii vita imenifundisha mambo mengi sana.

Kwanza niliwaza ni kwa nini Russia alifika hadi kwenye viunga vya Kiev lakini akatoka. Nilichokuja kufahamu kuwa alikuja kugundua teknolojia ya vita imebadilika pale misafara yake ya kijeshi ilivyopigwa picha toka angani.

Leo ule "Usupa Pawa" wa kuwa na vifaru na ndege kadhaa za kivita unaonekana hauna maana mbele ya nguvu ya Drone.

Hii vita watu wa NATO wanaitumia kutesti mitambo yao.
 
Back
Top Bottom