Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

mkuu nilikosea hapo juu samahani samsung mpya hakuna 42, kuna 40 na 43,......40" 800000, .... 43" ni 900000.......lg zipo 42" ni 850000 na 43" ni 900000
abdul pole na kazi usichoke kwa maswali yetu...
naomba specification za hio lg43''
 
Mimi ninahitaji antena ya nje(kubwa) ya Star times na cable yake nipo Arusha mjini.
Mawasiliano:0713260027
 
Mkuu hao wawakilishi wenu wa Tanga wapo maeneo gani? au mawasiliano yao? Pia kwa Tanga zinapatikana kwa bei sawa na Zanzibar ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…