Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
mkuu nilikosea hapo juu samahani samsung mpya hakuna 42, kuna 40 na 43,......40" 800000, .... 43" ni 900000.......lg zipo 42" ni 850000 na 43" ni 900000Lg au Samsung inch 42 mnauzaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu nilikosea hapo juu samahani samsung mpya hakuna 42, kuna 40 na 43,......40" 800000, .... 43" ni 900000.......lg zipo 42" ni 850000 na 43" ni 900000Lg au Samsung inch 42 mnauzaje?
Karibu PM mkuu,Samsung plasma 43 inches used ila bado iko poaa.. 750,000.. ni mali yangu nauza.. 0713 799 522
Mkuu ni used au mpya? Mambo mengine naomba nikuulize private.....aka PMsamsung 490000, lg 530000
mi nnayo sony inch 12 bei 6500/= maelewano yapoNataka tv chogo niko dar mwenye nayo anipm
abdul pole na kazi usichoke kwa maswali yetu...mkuu nilikosea hapo juu samahani samsung mpya hakuna 42, kuna 40 na 43,......40" 800000, .... 43" ni 900000.......lg zipo 42" ni 850000 na 43" ni 900000
ni led, inasapot flash, hdmi na av in zipo 2, resolution yake ni 1080p ni toleo la 2015abdul pole na kazi usichoke kwa maswali yetu...
naomba specification za hio lg43''
model namba ni ni 43lf51abdul pole na kazi usichoke kwa maswali yetu...
naomba specification za hio lg43''
mi nnayo sony inch 12 bei 6500/= maelewano yapo
elfu 62 au 6200? nch 12?mi nnayo sony inch 12 bei 6500/= maelewano yapo
Futi ngapi hilo dishi?Mi ninalo dish kubwa la wavu nauza 120,000/=ila nipo Geita
Utaipata karibu andaaa buku 25Mimi ninahitaji antena ya nje(kubwa) ya Star times na cable yake nipo Arusha mjini.
Mawasiliano:0713260027
Ha ha ha hami nnayo sony inch 12 bei 6500/= maelewano yapo
Mkuu hao wawakilishi wenu wa Tanga wapo maeneo gani? au mawasiliano yao? Pia kwa Tanga zinapatikana kwa bei sawa na Zanzibar ama?wakuu kwa sasa tuna wawakilishi wetu dar na tanga hivyo unaweza kupata tv yako bila ya waswas wowote walio maeneo hayo, karribuni mujinunulie flat screen kwa bei nafuu kabisa, lg, samsung, hisense, tcl nanyengunezo, contact 0718919725, 0777650286, tupo mtendeni zanzibar