Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

niliona 1 Dubai last week LG ilikua dhs 3700 ambayo ni kama usd 1200...
 
Nahitaji Booster watt 1500 au 2000 pia mwenye kuuza tall boy spika njoo pm tufanye biashara
 
Kwa wale wanaohitaji tv used na mpya samsung.lg,star x, tcl kuanzia inch 32 mpk 50 tafadhali tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0713449470,0784449460/0755206666/niko mkoani morogoro ndo mahali duka langu lilipo
 
1468576374006.jpg
 
Phillips inch 21ipo dar ila remote yake imezingua inataka 80000 mwenye kuitaka 0652399916
 
KWA TV ZA KISASA, HOME THEATER, WASHING MACHINE, COOKER (GAS & UMEME), WATER DISPENSER, FRIDGE, FREEZER, MICROWAVE, PASI, BLENDER N.K

KARIBU SAMSTORE DUKA LIPO SINZA PALESTINA MKABALA NA MSIKITI, BIDHAA ZOTE NI MPYA NA ZINA WARRANTY, WAKAZI WA DAR UTALETEWA HADI MLANGONI BILA KULIPIA GHARAMA YA USAFIRI. MKOANI NAKUTUMIA POPOTE ULIPO.

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA NAMBA HII 0712 22 31 00
 
Lg & Samsung 32" 480000/-
Lg 42" 800000/-
Samsung 40" series 5 750000/-
Samsung smart 40" 1200000/-
Samsung smart 50" 1.7m,
Lg led 49" 1.3m
 
Back
Top Bottom