gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Wateule wanakimbia nchi, netanyahu anazuwia wasiondoke,yale makazi salama wanayokimbilia vyuma vikiwa vinakuja, Iran kafumua janaBaada ya kuona kipigo kimezidi sasa mnaona bora muanze kutafuta visingizio Uchwara!! Mwanzoni mlikuwa mnabwabwaja sana na kutamba kuwa Israel haiwezi kuishambulia. Sasa ameshambuliwa mnaanza kutafuta visingizio. Kama suala la kusaidiwa Iran anaisaidia Russia huko Ukraine mwambie naye amsaidie kupambana na Israel.
Kwa taarifa yako tu anga lote la Tehran liko chini ya majeshi ya Israel na leo huko Tehran walikuwa wanaaga mizoga ya makamanda waliouwawa kizembe na majeshi ya Israel siku ya Ijumaa
We subiri kifurushi Cha bila kikomoAcha utani kaka!
hawakutegemea wa izrael wanachokutana nacho moto unawakaWaajemi noma wanaweza piga hata USA ndani ya dk 5 tu, wale sio waarabu!! 😂😂
Ona sasa Israel anavyomtomasa mwali wake
Serikali inaona aibu..Wateule wanakimbia nchi, netanyahu anazuwia wasiondoke,yale makazi salama wanayokimbilia vyuma vikiwa vinakuja, Iran kafumua jana
Zitabaki kelele za wafaidika wa misaada ya vilainishiBado wiki moja hizi kelele za wafuga midevu hutazisikia tena !
Hii source wapi?Iran imetangaza wahindi wote warudi kwao ndani ya masaa 48
Really!?Iran imetangaza wahindi wote warudi kwao ndani ya masaa 48
Kwa kuwa huko tweeter kuna watu wanaunga mkono Iran eti tena Wazungu ndiyo mimi nitishike na Uzungu wao Acha ujinga!!Mzee kama unashindwa kuchangia acha, tutolee us3nge wako kila muda midevu na majini, midevu na majini...
Kama huna hoja za kuchangia humu kula kona, jf ni pana, unaharibu uzi na upuuzi wako wa kifala kila hoja unapigwa unaipeleka kidini..
Hi vita si ya kidini, huko twitter wamarekani wengi tu tena wazungu wanaiunga mkono Iran, na wao ni wa dini? mbona huyu jamaa ni mzungu na anaiponda Israel na kuisifu Iran..
View attachment 3371607
Unaharibu uzi na ukiendelea tutajiunga humu tuku report kwa pamoja ulambwe ban na mods usirudi tena kwenye huu uzi ukafungue wa kwako huko...
Hapa tunataka hoja kwa hoja, updates... ukishindwa kuwa msomaji sio lazima uchangie..
Nilisha lisema hili Kuna coalition unakuja ya Iran na Pakistani dhidi ya IndiaIran imetangaza wahindi wote warudi kwao ndani ya masaa 48
Kumbe kutokujua kiarabu ni kosa? Mimi niliomba awake tafsiri tu!!Mpotezee huyo mzee!
Sio kosa lake.
IRAN ajawakataa waje tu IRAN anajua ukubwa wa Mzigo alioubeba kwa Kuichapa Israel !!!Huwajui ulaya ww vzr muulize mrusi
Sio kweli juu ya anga la IranIsrael ana piga aki tokea iraq
Mbona hiyo kawaida sana hujui Sikka hata Ukraine,Russia nao walifanya hivyo baada ya vita kati yao kutokea? Au wao kufanya hivyo ni sahihi lakini kwa Israel inakuwa kosa?..Wateule wanakimbia nchi, netanyahu anazuwia wasiondoke,yale makazi salama wanayokimbilia vyuma vikiwa vinakuja, Iran kafumua jana
Wewe ndiye mpotoshaji mkubwa , we ulinambia humu kabla ya hii vita kwamba unaishi Tel Aviv, hio Tel Aviv unakaa kipande cha wapi?Kwa kuwa huko tweeter kuna watu wanaunga mkono Iran eti tena Wazungu ndiyo mimi nitishike na Uzungu wao Acha ujinga!!
Kuna hoja gani nimeipeleka kidini? Kivipi nimeipeleka kidini?
Nani amekuambia hii vita ni ya kidini?
Jiungeni haraka sana mnitoe humu wapotoshaji wakubwa nyie
Wewe mjinga sana kosa langu nini jamaa kaleta clip ya kiarabu mimi nikaomba Lete tafsiri harafu wewe Una I’m a acha ujinga mpotoshaji mkuu wewe. Kama unaombea nitoke humu sitowi mpaka muache uongo wenu na upotoshaji. Kama kutoka toka wewe peleka ujinga wako huko tweeter
Hawa wanapenda shabikia ujinga na ndio ule ule ujinga alionao Iran, wakati kule Tehran taarifa official zinasema barabara na sheli zimejaa watu wanakimbiaMbona hiyo kawaida sana hujui Sikka hata Ukraine,Russia nao walifanya hivyo baada ya vita kati yao kutokea? Au wao kufanya hivyo ni sahihi lakini kwa Israel inakuwa kosa?..
Tunajua we ni mfuga makalio ili uwafurahishe wafadhili wenu wa vilainishiWewe acha ujinga wako sasa unatuletea lugha hiyo bila kutuletea tafsiri unafikiri wote humu ni Wafuga Midevu na Majini?
Fuatilia mbona sahivi wapo mtaani wanazurura zaoWewe ndiye mpotoshaji mkubwa , we ulinambia humu kabla ya hii vita kwamba unaishi Tel Aviv, hio Tel Aviv unakaa kipande cha wapi?
Maana huko Tel Aviv mji wote watu hawana amani, wengine wamefariki, wengine majeruhi.. hivi we mwamba unatuchukuliaje ?
We jamaa acha uongo, huwezi kuwa Tel Aviv sasa hivi una chat hapa..
Wenzako wote wapo kwenye bunker huko wameshonana kama nyanya zipo kwenye tenga... acha uongo..