Hao viongozi wa Iran wameuawa baada ya kuwa "tricked" na Trump hivyo wakajisahau wakarudi kwenye maeneo yao ya makazi badala ya makazi maalum.Kazi ya hizo rada zinazoruhusu viongozi wa Iran kuwawa wote ni ipi sasa?
Jinsi Iran watajibu mashambulizi usiku wa leo itaamua mwenendo mzima wa hii vita.Aisee! Sikuiona mpaka mwisho!
Hata asiyekuwa na dini ana itikadi vilevile!Hii dunia bila kuwa na itikadi za dini, sijui ukristo, uislam, uhindu, upagani tukawa na Mungu pekee ingekuwa mahali bora na salama kabisa.
Shida inakuja watu wamejazwa madude ya hovyo kichwani. Kama wewe huogopi kifo, kwanini uwatafitie kifo wanaotaka kuishi?
Acha ujinga na laana ulizoachiwa na wazunguKwamba Sir Richard Dalton ni kilaza na wewe una akili zaidi yake pamoja na udumavu wako wa kukulia ugali wa mahindi ambayo ni chakula cha mifugo kwa wenzako. Kweli nchi imezalisha mbumbumbu wengi sana tangu Mkoloni aondoke.
Mimi nafurahi anga la Israel kuwa wazi je litaongeza sh ngap kwenye account yangu , japo huwa binafsi nachekekea Israel kupigwa bwashee ?Uzuri anga la Israel lipo wazi kwa Tehran, kila wanachokifanya watajibiwa..
Umeanza kuongea ukweli sasa mgerasiTafuta pesa bwashee si iron drone ya Israel wala za iran zinazoweza ongeza chochote kwenye account yako mekuπ€
Nafikiri hivyo!Jinsi Iran watajibu mashambulizi usiku wa leo itaamua mwenendo mzima wa hii vita.
Movements wanazozifanya NATO tangu jana mpaka leo zinanifanya nihisi kuna kitu wanataka fanya hapo middle east!
Propaganda,Kalambishwa mchanga major general kikosi cha anga Israel..
View attachment 3371704
Sio nimeanza kuongea ukweli bwashee wewe useme tu nimeanza kulewa mimi kama mimiπUmeanza kuongea ukweli sasa mgerasi
Watu wanashabikia mauaji kama wajinga vile yaan
Afu watu wenyewe wanaokufa hawana hata hatia yaan
πHata asiyekuwa na dini ana itikadi vilevile!
Imma atakuwa mwenye itikadi ya kupenda haki au mwenye itikadi ya kupendelea na kufanya maovu.
Duuu hii ni kama movie vile wakati kituo cha TV cha Iran kinashambuliwa leoIran imeanza mashambulizi makubwa ya makombora dhidi ya Israel, ambayo yamelenga miji mikuu ikiwemo Haifa na Tel Aviv. Viwanda vya mafuta na kemikali, kama Bazan Group, vimeharibiwa vibaya huku moto mkubwa ukiripotiwa.
Wimbi la pili la makombora limeanza kutua, na majengo kadhaa mjini Tel Aviv yamepigwa, watu 15 wakijeruhiwa. Taarifa za vifo pia zimeanza kuripotiwa kutoka maeneo mbalimbali ya Israel.
Pakistan imetangaza kuwa itaishambulia Israel kwa nyuklia endapo Iran itashambuliwa kwa silaha hizo, na iko tayari kuingia vitani upande wa Iran iwapo mataifa ya Magharibi yataingilia moja kwa moja.
Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Israel (Shin Bet) ameripotiwa kujiuzulu kufuatia hali hiyo ya taharuki.
UPDATE:Mpaka muda huu miji yote ya Israel imeshambuliwa na Iran na taarifa za vifo huko Israel zimeanza kutoka.
Hali ni mbaya kwa upande wa Israel it seems wamezidiwa
Ndege hazikurudi zote bana.Sio kweli, kwa ujasusi alioufanya Israel zingewekwa decoys angejua mapema, na Iran asingeruhusu yanayoendelea katika anga lake, we unahisi kule zilienda ndege tatu Iran ni kubwa mno taarifa za mwisho zilisema kule takriban ndege 200 siku ya kwanza ndizo zilihusika na zikarudi salama
Israel tayari wameweka mtambo mpya wa ADS uitwao Barak Magen.Katika vita kati ya Israel na Iran, udhaifu wa mfumo wa Iron Dome unaweza kuonekana zaidi kwa sababu ya aina ya vitisho kutoka kwa Iran, ambavyo ni tofauti na vile vinavyotoka kwa vikundi vya karibu kama Hamas au Hezbollah.
UDHAIFU.
π» 1. Uwezo Mdogo kwa Makombora ya Masafa Marefu
Iron Dome imeundwa kuzuia makombora ya masafa mafupi na ya kati (km 4β70).
β Inafaa kwa kuzuia makombora kutoka Gaza au Lebanon.
β Iran hutumia makombora ya masafa marefu (kama Shahab-3, Emad, Fattah), ambayo Iron Dome haiwezi kuyadhibiti.
β‘οΈ Kwa makombora haya ya Iran, Israel hutegemea mifumo mingine kama Arrow 2/3 au Davidβs Sling.
π» 2. Shinikizo Kutoka kwa Mashambulizi ya Pamoja (Saturation Attack)
Iran inaweza kurusha mamia ya makombora kwa wakati mmoja kupitia:
Vikosi vyake vya moja kwa moja.
Washirika kama Hezbollah, Hashd al-Shaabi (Iraq), na Houthi (Yemen).
β‘οΈ Iron Dome ina idadi ndogo ya makombora ya kujibu (interceptors) kwa wakati fulani. Ikiwa kutakuwa na mashambulizi mengi kwa wakati mmoja, baadhi ya makombora yatapita na kufanya madhara.
π» 3. Gharama Kubwa dhidi ya Silaha za Bei Ndogo
Iron Dome hutumia kombora la kulipua (interceptor) linalogharimu hadi $100,000 kwa kila shambulio.
Lakini Iran na washirika wake hutumia makombora au droni ambazo gharama yake inaweza kuwa chini ya $10,000.
β‘οΈ Vita vya muda mrefu vinaweza kulemaza uchumi wa Israel kwa sababu ya gharama kubwa ya kujibu mashambulizi haya.
π» 4. Udhaifu kwa Droni Zenye Kasi na Akili Bandia
Iran imeongeza uwezo wa droni za kujitoa muhanga (kamikaze drones) kama Shahed-136 ambazo zina:
Kasi ya juu
Njia zisizotabirika
Uwezo wa kuruka chini au kubadilisha njia hewani
β‘οΈ Iron Dome si maalum kwa kuzuia droni nyingi kwa wakati mmoja. Droni zinaweza kupenya na kulenga miundombinu muhimu.
π» 5. Utegemezi wa Miundombinu na Mtandao
Iron Dome inategemea sana:
Radar, Ufuatiliaji wa satelaiti. mtandao wa internet.
β‘οΈ Iran inaweza kufanya shambulio la kimtandao (cyber attack) au kutumia makombora kulenga rada, vituo vya nguvu au mifumo ya mawasiliano, na kuiathiri Iron Dome.
6. Urefu na Wigo wa Vita
Vita dhidi ya Iran vitakuwa vya masafa marefu na muda mrefu, tofauti na mashambulizi ya haraka kutoka kwa makundi kama Hamas.
β‘οΈ Iron Dome si rahisi kusambazwa kwa haraka na inaweza kuchoka kwa muda ikiwa itaendelea kulinda maeneo kwa wiki au miezi.
π Hitimisho
Katika vita na Iran, Iron Dome haiwezi kuwa ngao pekee ya ulinzi wa anga ya Israel.
Ni muhimu, lakini ina udhaifu mkubwa dhidi ya makombora ya masafa marefu, mashambulizi ya pamoja, droni za kisasa, na vita vya kiteknolojia.
Israel italazimika kutumia mfumo wa ulinzi wa tabaka nyingi (multi-layered defense), kama vile:
Arrow 3 kwa makombora ya mbali
David's Sling kwa makombora ya kati
Iron Dome kwa makombora ya karibu na roketi.
Hadi sasa kuna msako mkali unaendelea kote Iran kutafuta wale wote waliokuwa wanatumika na Mossad.Hao viongozi wa Iran wameuawa baada ya kuwa "tricked" na Trump hivyo wakajisahau wakarudi kwenye maeneo yao ya makazi badala ya makazi maalum.
Pili, Mossad "collaborators" (ndani ya Iran) ndo walofanikisha shughuli (waliuza picha zote) yote na wengi wamekuwa wakitiwa nguvuni na Iran.
πππππ Kama THAAD imeshindwa hiyo Barak Magen itafanya nini mkuu??Israel tayari wameweka mtambo mpya wa ADS uitwao Barak Magen.
Hivyo katika network yake sasa Ina Iron Dome, David Sling (kwa ajili ya rockets), Arrow System ( kwa ajili ya makombora ya masafa marefu ya Iran) ambayo imeshindwa kwa baadhi na sasa Barak Magen
Hakuna air defense itazuia usipigwe,Katika vita kati ya Israel na Iran, udhaifu wa mfumo wa Iron Dome unaweza kuonekana zaidi kwa sababu ya aina ya vitisho kutoka kwa Iran, ambavyo ni tofauti na vile vinavyotoka kwa vikundi vya karibu kama Hamas au Hezbollah.