Sultan MackJoe Khalifa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2022
- 7,696
- 15,984
Umeacha kuwatetea watekaji na wauaji umehamia huku, na unafeli kila kona, Bibi Netanyahu ameamua kumaliza Stone Age ideas tuliaIsrael analilia marekani aingilie
Sawa, na beseni la mafuta Haifa linawaka moto pia saa hii. Au wewe unapata taarifa za upande mmoja tu mzee?Watu washatolewa kwenye shelter zao wameambiwa wapige misele ila Iran huko basin lenu la mafuta na vituo vya gesi vinawaka moto
Umeanza uongo sasaHayo matanki mawili ya mafuta,hayakua yamejaa na moto ushazimwa
Wameharibu nabanda ya kukuπ€£π€£Mpaka sasa yameleta athari gani kwa Israel?
Tazama hili pang'ang'aUmeacha kuwatetea watekaji na wauaji umehamia huku, na unafeli kila kona, Bibi Netanyahu ameamua kumaliza Stone Age ideas tulia
Wapo bize kuhakikisha maushungi anaendelea kututawalaHivi JW kuna kitu wanajifunza kweli kwenye hii vita,au wameshikamana kwanza na kokoto?
Main stream media huchelewa kuripoti,mimi nimeona video hatua baada ya shambulizi na moto kudhibitiwaUmeanza uongo sasa
Mamlaka za Iran ndio zimesema zipo kwenye kupambana na moto ww unasema umezimwa tumuamini Nani
Al Jazeera au wewe trust me bro???View attachment 3368937
qumamamamake..............!!! piga wauaji hao..!!!Bandari ya Haifa Bye Bye
Wairani nyokooo kabisa
Nimenyoosha mkono juuππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»Noooo mmeshindikana
View: https://x.com/IRIran_official/status/1934007365470228777?t=uv_aF8EIxl-sQ33GxWvauA&s=19
Ungejua kakimbia bila gauni yake leo..........maana yahudi kaingia ndani kwake kabisaaa na kapasua mpaka tight ya mkeweHuku tukiendelea kufatilia vita hii mbaya yenye madhara kwa pande zote.
Tujikumbushe sababu ya vita hii ni ndege za Israel kuingia ndani ya anga ya Iran na kufanya mamshambulizi na kuuwa viongozi kadhaa wa Iran.
Iran ikajibu mapigo kuanzia siku ya jana june 13 usiku na mpaka sasa mzee Hayatollah kavurugwa ananichapia mtu mpaka huruma.
Hahaha umeoma live au sio tupiemo na ka picha tuoneMain stream media huchelewa kuripoti,mimi nimeona video hatua baada ya shambulizi na moto kudhibitiwa
Karibu mkongwe!qumamamamake..............!!! piga wauaji hao..!!!
Kwa moto ule cha kuokoa labda chuma chakavu na ndevu za ayatollah tu kama zitabakiUmeanza uongo sasa
Mamlaka za Iran ndio zimesema zipo kwenye kupambana na moto ww unasema umezimwa tumuamini Nani
Al Jazeera au wewe trust me bro???View attachment 3368937
Makazi ya Netanyahu yamegeuzwa kifusi huko!Ungejua kakimbia bila gauni yake leo..........maana yahudi kaingia ndani kwake kabisaaa na kapasua mpaka tight ya mkewe
Nimeona hiyo zaidi ya nzima iliyopita,hilo ni tukio la masaa mawili yaliyopita,tumia threads,x, telegram kufatilia habari instantlyHahaha umeoma live au sio tupiemo na ka picha tuona
Haina haja ya kudanganya mbona uku Israel tunaona Haifa inavyo chapika and we are very excitedly kuano vimondo vya Iran vinavyo tua