SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Look, Wayaudi wanasema zilikwenda ndege sijui 200,kesho yake wanasema zilikwenda 50 tu, sasa tuamini nini tuache nini? Kitu kingeni, naona hukunielewa sikusema zilikwenda ndege tatu, mimi hapa nilikuwa namaanisha kwamba kwa ndege zilizotumwa huko Iran zilikuwemo vile vile Aina yo stealth fighters/bombers aina ya F-35.
 

Hapa muda si mrefu jengo la tv na redio ya taifa Irani vimelipuliwa, Ustadhat wa watu alikuwa live mara mlipuko akakimbia marathoni kujiokoa
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-16-19-31-14-67.jpg
    307.4 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…