City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
USA wameanza kushambulia muda huu huko Iran.Pro Iran mmekula kona sio
Duh hatari hiiBreaking News:
Muda huu channel ya Israel channel 14 wanareport kuwa USA wameungana na Israel na wameanza kushambulia Iran muda huu
View: https://x.com/FrumTikTok/status/1934754858810085655?t=XTZ_lT0nOUi2_dWnyybzwQ&s=19
Iran kwisha habari yake,haya ni wakati wa Pakistan kumsaidia Iran sasaUSA wameanza kushambulia muda huu huko Iran.
View: https://x.com/FrumTikTok/status/1934754858810085655?t=XTZ_lT0nOUi2_dWnyybzwQ&s=19
Leo mbona iran katuangusha natafuta video za mashambulizi za usiku huu sizioni.
Hii sio rahisi sababu mpaka sasa Iran kashatepetaHatari sana
Ngoja tusubiri, nipo live pages zote. So far muda huu bado Iran inashambuliwaIran kwisha habari yake,haya ni wakati wa Pakistan kumsaidia Iran sasa
Subiri uone hapa lengo la Ayatola ni nyie mkeshe hivyo mzigo mtahangaika nao muda ya wanga
Hahahaha Tehran inawaka moto huko wewe unaleta propaganda zako
Ungekuwa una screenshot
PoaUngekuwa una screenshot
Mkuu screenshotSuleiman Ahmed, pro Iran mkubwa alalamikia order iliyotolewa na Trump usiku huu
View: https://x.com/ShaykhSulaiman/status/1934749179961553207?t=wdcpOBQh6i6LJMwbAafqEw&s=19