Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Watazionyesha vipi walikuwa hawajui zitapita saa ngapi mwanzo Israel alikuea anatangaza zinakuja jana a ashtukia before two minutes vitu vina land. Israel kafukuza media wote kawaweka mbali anadai kaintercept Missiles nyingi mwambieni atuonyeshe kama alivyo kuwa akionyesha za Gaza hahahaNaomba unielewe nilichosema, nimesema zikiwa zinapita huonekana na watu waliopo Jordan huchukua clips na kuweka
Wenzako wapo Tehran wanaona hatari iliyopo,wewe upo mchambawima unatunga propagandaSecurity ya Israel wanategemea Missiles zingine zinakuja
Soma muda hapo,acha porojoSecurity ya Israel wanategemea Missiles zingine zinakuja
Sasa hivi Iran inarusha missile tano tano kama maandazi ndio maana zote zinadunguliwa,kashakata pumzi na asubuh ndio hii inafika maana missile zake haziwezi kutembea mchana kwenye oxygen kubwa.Security ya Israel wanategemea Missiles zingine zinakuja
Naona unajichanganya,mara hawajui kama zinakuja mara wanatangazaSecurity ya Israel wanategemea Missiles zingine zinakuja
Sio kweli mfano hata zile za saa 4 China tv walikua liveWatazionyesha vipi walikuwa hawajui zitapita saa ngapi mwanzo Israel alikuea anatangaza zinakuja jana a ashtukia before two minutes vitu vina land. Israel kafukuza media wote kawaweka mbali anadai kaintercept Missiles nyingi mwambieni atuonyeshe kama alivyo kuwa akionyesha za Gaza hahaha
Endelea kujidanganya
View: https://youtu.be/U17IiJXEvA4?si=Y2DIINqYtyObPLNR
Iran saa yoyote ile ata test Nuclear ana
enough enriched uranium to make 10 nuclear bombs.
Sio kweli, hakuna alert yoyote hadi sasa. Alert ikiwepo lazima watangaze ili raia waingie sehemu salama wajikingeSecurity ya Israel wanategemea Missiles zingine zinakuja
Missile zimefika wapi?Vikao vimeanza wameona wakizubaa mtu anafutwa kweli
*****
🇺🇸 — Secretary of State Marco Rubio will be joining Donald Trump at the White House.
Kitu kinatembea hewani kwanza kinarudi wima Kwenye target hakuna anayepata early warningHii imetokea muda gani? Maana nipo live kwa media zote pro iran
Endeleeni kujiliwaza,tuliwaambia Iran bado sana kwa Vita na Israel au Marekani.Kitu kinatembea hewani kwanza kinarudi wima Kwenye target hakuna anayepata early warning
Iran wakikubali hayo masharti ya USA, Iran watakua wajinga. Lakini pia Iran inapaswa kutumia huu muda kuipiga na kuifuta kabisa Israel, huu ndio muda sahihi kwaoVikao vimeanza wameona wakizubaa mtu anafutwa kweli
*****
🇺🇸 — Secretary of State Marco Rubio will be joining Donald Trump at the White House.
Hizo hapa Missiles za leo zimeshuka kama mvua kuna jamaa ka recordsVikao vimeanza wameona wakizubaa mtu anafutwa kweli
*****
🇺🇸 — Secretary of State Marco Rubio will be joining Donald Trump at the White House.
Zimefika wapi?Kitu kinatembea hewani kwanza kinarudi wima Kwenye target hakuna anayepata early warning
Sio kweli alert lazima ziwepo kabla hata haijagusa ardhi ya Israel. Pili naomba link ulipoyoa hiyo habari na hiyo picha nijiridhishe maana mimi muda wote nipo kwenye media na pages za pro Iran hazijaweka hiko kituKitu kinatembea hewani kwanza kinarudi wima Kwenye target hakuna anayepata early warning