SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Duuuuh kwa hapa IRAN don't go far please aisee kwa kipigo walichokipata Israel kinawatosha kabisa

Haki wairan sio waarabu nakiri tena kwa mara ya 1000

What insane??😲😲
Bado hawajasema ,mpaka waseme , ogopa nchi iliyopigana na Saadam huku Saadamu akiwa na silaha kali kama scud missiles na mpaka silaha za sumu huku akisaidiwa na Marekani na nchi nyingine za magharibi kwa miaka nane na hapo kupigwa vikwazo vikali vya kiuchumi ,na walipigana miaka nane na bado wakashinda ,acha kabisa hawa viumbe .
Persia ni warriors by nature ,si cowards hawa kama waarabu , hii ni jamii ya watu wapambanaji kifupi Persia au uajemi ina include mpaka jamii za Afghanistan yote , kabla ya kuwekwa katika mataifa ya leo , ni jamii za watu ambao wakiingia kwenye vita hawana kurudi nyuma , kwa vichwa maji ambao hawaamini historia wala kuchimba mambo kwa kina ,hawawezi elewa hili .Ila mtaelewa kwa actions mwaka huu.
Ni jamii za watu friendly Sana ila wakipigana vita hawana kurudi nyuma.Mazayuni wataibua mikono na maumivu yatakuwa makali mno .
Mwisho wa siku hizi athari pia na sisi nchi za huku Tutatumia sana kutokana na inflation ya bidhaa na dhiki kali inayokuja kutokana na hivi vita , ni muhimu kukaa chonjo
 
Mpaka sasa task waliyopewa jana Israel wameifanyia homework nzuri sana yale makombora yanakuwa intercepted barabara

Ila tujipe muda
Israel inaendelea kuilipua Tehran vizuri sana miundombinu ya mafuta gesi inalipuliwa vizuriiii.
Ndegevita za myahudi zinatamba tu tehran na Iran hakuna kitu inafanya.
 
Nilichojifunza kwa Iran wana viongozi wazalendo na wenye uchungu na nchi yao sio kama hawa wetu hadi bandari wanauza
Iran wanapmabana ku survive..
juhudi zote walizofanya kwa uchungu na wakati mgumu kwa vikwazo zaidi ya miaka 50, haziwezi kuoweka kirahisi... watakufa na mtu..
 
Mpaka sasa nini kinaendelea huko kwenye front line? Tuwekee mapicha ya waliokufa pamoja na hali halisi ya uharibifu wa majengo
 
Hayo makombora yanarushwa 1000 madhara yake utakuta yameua wayahudi 2 tena vikongwe.

IWakati huo srael inaendelea kuilipua Tehran vizuri sana miundombinu ya mafuta gesi jeshi, silaha na dozens za wanajeshi inalipuliwa vizuriiii.
Ndegevita za myahudi zinatamba tu tehran na Iran hakuna kitu inafanya.
 
kaa kwa kutulia muisraeli wa bonyokwa
Ndege zimefika sasa.....

 
Mpaka sasa nini kinaendelea huko kwenye front line? Tuwekee mapicha ya waliokufa pamoja na hali halisi ya uharibifu wa majengo
Subiri kwanza Muiran atengeneze picha zake za AI then wafuasi wa mudi ndo wazilete.
Wafuasi wa mud utasikia wakisema Iran kaangusha ndegevita 15πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜† wao wanafikiri kuangusha ndegevita tena za myahudi ni sawa na kutupia matonge ya wali maharage mdomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…