Ninja assasin
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 3,103
- 7,102
Yaani Mkuu unamzungumzi Macron ambae hana lolote ni bendera fata upepo mala yupo upande wa Palestina wakat huo kesho yake akatuma shehena ya siraha mpaka wafanyakazi wa bandari wakaweka mgomo, Rais ambae analambwa vibao kila siku public na raia wa France na mke wakeMacron kwenye mkutano wa G7 amesema kufanya regime change Iran itakua ni strategical error.
Amelipinga hilo.πππππ
Sasa najiuliza kwanini amepinga mpango wa regime change Iran?
Au amenusa nini?
Wao waendelee tu kupayuka frii frii Palestine lakini Kipondo kio palepale tu
Kuapishwa juziSafari Iran watakufa sana tu
Wao waendelee tu kupayuka frii frii Palestine lakini Kipondo kio palepale tu
Sasa hapo shida si iko kwako mzee kutokua na uwezo wa kua na vpn hata za bure haimaanishi wengine wakose habari.Mna hangaika kuleta source za X ambazo aifanyi kazi bila v.p.n ni kupoteza mda
Kwa lugha nyengine Israel si mahali salama tena.
Israel kalivaa! Hawakujua kuwa Iran ni sawasawa na kolabo la wendawazimu 7.
Clip imetolewa kwa Sulamain Ahmed mpiga propaganda za kijinga!! Tuambie vizuri hiyo clip ya wapi maana hapo si Israel maana hatusikii vingβora tunaona na watu wanazagaa wakati wayahudi wako kwenye mahandaki ya usalama!!!
Hata warusi siku Ulaya ikisema inaivamia hutaona ndege zake.1.Mbona Ayatoulah hatoi speech
2.Mbona ndege zenu hazionekani kokote iwe kwenye anga lenu au la Israel
Yeye hana porojo, ni vitendo, ni kutuma vimondo1.Mbona Ayatoulah hatoi speech
Iran imewekeza kwa missiles, anatawala anga la Israel kwa kushusha vimondo, na vinapiga sehemu yoyote, matumizi ya fighter jets ni vita za kizamani2.Mbona ndege zenu hazionekani kokote iwe kwenye anga lenu au la Israel
Hivi huyo USA mnataka aingie mara ngapi???,hayo yote yanayotokea ni USA ndio anafanya.US wenyewe wanajua wakiingia hii moja kwa moja mambo yatakuwa hatari zaidi. Kinachoonekana sasa hivi muajemi ana hasira ambayo imezidi kiwango. Hivyo, maamuzi magumu yoyote wanaweza kuyachukua. Kwa nchi kufikia kwenye hii hatua ni hatari. Na muajemi lengo lake linaonekana ni kumchakaza Israel mazima ili mbeleni awe na adabu ya kuishi na wenzake.
Hata warusi siku Ulaya ikisema inaivamia hutaona ndege zake.
Kwa Iran naona Iraq alijitahidi sana, na walitumia wiki 2 hadi kutawala anga. Iran hata masaa 72 hayajafika
βββYeye hana porojo, ni vitendo, ni kutuma vimondo
Iran imewekeza kwa missiles, anatawala anga la Israel kwa kushusha vimondo, na vinapiga sehemu yoyote, matumizi ya fighter jets ni vita za kizamani
βββ
Ila ukweli unaujua Ayatoulah anaogopa kifo na uwezo wa kijeshi wa anga wa Iran ni poor kama wa Tanzania na vita hii hamshindi muda utaongea
Watanzania tupo Tayari kufia nchi yetu, lakini sio kufia utawala wa CCM, hii ndio challenge waliyonayo IranHawapo tayari kufa kwa ajili ya CCM ila wapo tayari kufa kwa ajili ya nchi yao.
Unaweza ukaichukia serikali na kuipenda nchi.
Iran ni missiles tu, anaangusha Mossad Tower huku akiwa chumbaniβββ
Ila ukweli unaujua Ayatoulah anaogopa kifo na uwezo wa kijeshi wa anga wa Iran ni poor kama wa Tanzania na vita hii hamshindi muda utaongea