Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Iran hana ndege za kivita na ukweli ashalemazwa na sahivi tunadili missiles zake atasurrunder tu, sahivi ashaanza kurusha missiles 10 zamani alikuwa anarusha 100 kwa sikuHata warusi siku Ulaya ikisema inaivamia hutaona ndege zake.
Kwa Iran naona Iraq alijitahidi sana, na walitumia wiki 2 hadi kutawala anga. Iran hata masaa 72 hayajafika
Nyie jengo lenu lipi la kiserikali limesimama litajeIran ni missiles tu, anaangusha Mossad Tower huku akiwa chumbani
Iran haongei, vitendo tuNyie jengo lenu lipi la kiserikali limesimama litaje
Ila Ayatoulah anaogopa kifo maana hata akituma video yuko ndani ya handaki tunalifumua maana tunayajua yoteMtu yeyote ambaye ni muumini mzuri wa dini na sio mtu anayeiishi sana Dunia sidhani kama atakuwa anakiogopa kifo.
Wale tunaoishi sana Dunia na sio watu wenye Imani thabiti ndio tunaogopa saana kifo.
Ila mtasurrunder na vita hivi hamshindi Trump kashasemaIran haongei, vitendo tu
hatutumi watu kushambulia, tuna press button, Mossad Tower inaenda chini
hahaha, mpaka mkimbilie kwa US eeh, ngoma ngumu siyo ?Ila mtasurrunder na vita hivi hamshindi Trump kashasema
Kuna mtu humu ama kwengineko niliona, aliongea pointi ya msingi sana ni kwanini Iran hatumii ndege,Iran hana ndege za kivita na ukweli ashalemazwa na sahivi tunadili missiles zake atasurrunder tu, sahivi ashaanza kurusha missiles 10 zamani alikuwa anarusha 100 kwa siku
Ndio viongozi wao waliuliwa ila hawakupigwa field, miezi ilipita jeshi la Chini Israel halikuteka hata Km 1, walipigwa vibaya mno,Bro usichanganye mambo Hezbollah hakushurutisha Tu Hezbollah alichakazwa mchana kweupeeee uongozi woote ulifyekwa
Kwa kifupi walinyoosha mikono juu mwendo wa mateka
Kwa tunavyo ijua Hezbollah baba yao Iran anatandwika angesha ingilia siku ile ile ya kwanza angelusha makombora kabla ata ya Iran alie pigwa.
Sasa hivi hawajatoa ata mikwara ya kuikalipia Israel
Hiyo reason ilitolewa lakini mwenyewe niliipinga sababu ndege za kivita hazitumiki kurusha makombora tu pia kuna ulinzi wa anga na kupambana na ndege za adui, hadi Israel katangaza anatawala anga anajua taarifa zote Iran hana ndege ya kivita za matoleo ya kisasa ya level zake iwe ya kununua au ya kutengeneza mwenyewe au mnitajie ni toleo gani la ndege ya kivita inatengenezwa IranKuna mtu humu ama kwengineko niliona, aliongea pointi ya msingi sana ni kwanini Iran hatumii ndege,
Iran ili iifikie Israel inahitaji kuvuka anga za nchi kadhaa kabla ya kuifikia Israel, hizo nchi zote zipo against Iran na zina base za USA, kwahiyo tusitarajie kwamba Iran atavuka anga za hizo nchi na ndege kisha waziangalie tu, huo ndio ugumu anaoupata Iran.
Kweli mkuu kwasasa x tatizo na sio wengi wenye Vpn picha zitumwe kwanjia nyengine,,Mna hangaika kuleta source za X ambazo aifanyi kazi bila v.p.n ni kupoteza mda
Hili haliwezekani, Iran ni moja ya nchi zenye Geography inayozuia Uvamizi wa Kijeshi, Iran inanguka YenyeweHii vita bado mbichi sana, Israel walivyoanza mashambulizi walikua na nia ya kuzuia Iran kua na nyuklia, ila sasa hivi wamebadili ni "regime change". Navyoona wanasafisha kwa kutumia ndege halafu baadae wataingia wenyewe kwa miguu kusafisha kila kitu.
Niache nipo busy na vita😀 😀 😀 😀 hongera sana kwa kumpokea cutelove baada ya kufika dar
Hahahaha wamehamia huku tena? Wao si mabingwa wa kitabu na majiniView attachment 3372760
Revolutionary Guards spokesman:
"Israel is using ghosts, demons and witches to eliminate our leaders."
No! It’s the Mighty One of Israel!
ni kipondo kila mahali yahuuuuudi
TRAMP na mwimbaji taarabu wanatofauti gani !!!Ila mtasurrunder na vita hivi hamshindi Trump kashasema