Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
🤣🤣🤣Siku air zanzibar ikianza haya mayahudi yatakoma.
Mshana hii dunia yenu kweli? Hii dunia ni ya Mungu wa Israeli.Wapigane wenyewe watuachie salama dunia yetu
Karibu video zote Zinazowekwa na Wafuga Midevu na Majini hata hazieleweki mimi naona mapichapicha tu hata aliyeiweka haelewi wanaongea nini!!! Acheni TAQIYYAH hapa endeleeni tu kujifariji safari hii Ayatollah atanyea ndoo!!!!Pole sana angalia hio F35 ilivyo vurugwa mashoga zako huwa hawasemi wamepigwa hata USA kapanic kila kukicha mara nipo na control anga mara taingia vita hahaha sote tunajua Israel hapigani peke yake na Iran karibu nchi zote hizo zinamsaidia US, UK. France, Germany, Serbia, Jordan. Italy, UAE, Baharain. Hata Saud Arabia inasemekana
View: https://youtube.com/shorts/OBePXd3PP_c?si=nG9A35eZNAjJYpdB
Ngoja tuone kama ni kweli ama laa.Breaking News:
Mfalme aliyepinduliwa Reza Pahlavi anaongea muda huu anasema utawala wa sasa umeanguka, wapo defectors ndani ya jeshi wamemtafuta kuongea nae. Anaahidi atakua na wananchi wa Iran muda si mrefu
Video chini
View: https://x.com/NiohBerg/status/1935027868108722458?t=i6vkHtnp194Ntb59p7BDyg&s=19
Rwanda huyo hapo kale hakana rasilimali za maana unadhan hatamani kuanzisha noma ili achoteMabeberu hawana vita na afrika mashariki
Teh teh tehWiki hii haiishi Ali atakuwa amepinduliwa,kubwa la makafir likeingia kazini.
we mwehu nini hebu pambana na wasiojulikana kwanza mishipa ya shingo imekusimama kwa kushabikia ya wanaojielewa wakati nchini mwako mnaishi ka digidigi kutwa kutekwa,kuuliwa na kulawitiwa maliza ya kwenu kwanzaAcha ujinga wako nani amekuuliza kama wewe Mkristo acha kujipendekeza!!!
Yani blast yote hiyo bendera ibaki?Dadekiii walifikiri Iran ni kama HamasView attachment 3373481